Anayejua Inchugu secondary

Inchugu Sec ipo Wilaya ya Tarime, Tarafa ya Inchugu karibu na kijiji cha Getagasembe na Gwitiryo. Niliishawahi kufundisha hapo kwa kujitolea na ndio Nyumbani ukifika Sirari unapanda boda boda ni sh 1,500 tu
Naomba niembie kienda kama kuna nyumb za waalimu,maji,mitandao,nk
 
Naomba niembie kienda kama kuna nyumb za waalimu,maji,mitandao,nk
Toka sirari mpaka Inchugu ni shilingi 1000/= shule ya inchugu ina nyumba za walimu ila nyingi zina walimu, umeme umefika ila haujawashwa, mitandao ya simu ni 4G, maji yapo ya kutosha lakini pia shule ina eneo kubwa kwa ajili ya kilimo ndio shule niliyosoma o'level hivyo nayajua mazingira vizuri.
 
Thanx a lot
 
Sirari ni kijiwe au mji?
 
Sirari ni kijiwe au mji?
 
Sirari ni kijiwe au mji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…