StormGoogle na storm ipi harufu yake iko poa
Belagio PerfumeYeyote anayejua aina nzuri ya perfune yenye manukato yasiyokera mbele za watu isiwe zaidi ya 15,000 nahitaji kununua hata kama ina ujazo mdogo
Jinsia yangu ni mme
Ahsanteni
Ziko nabody spray zake?Dark fever 12000
Fighting temptation 18000
Royal lamba 7000
Zote fresh
6000Bei tafadhali
Nmekuelewa mkuu.... Tuko pamoja nami ngoja nisabuskraibu kabisaNgoja nitafute kalamu na karatasi ndo nije.....
KariakooWapi naweza pata blue channel kwa hapa Dar?
Duuh hii inapatikana wapi aseeIpo moja inaitwa rose mcharuko 3500 hutonisahau
Lovely 25000
Poa mkuu naelekea kkoo kuchukua dark fever nitatoa mrejeshoNgoja mm nikupe list hapa Kazi iwe kwako kuumiza AKILI lkn nukuu ongezea iyo pesa yako Ndugu yang .Nukuu hautokuja kujutia ukitumia hizi bidhaa
Changamoto zake ni kusumbuliwa na wadada
1.Brown orchid
2.Echo
3.Versace
4.Zara
5.Dior
6.GreedAventus sio ile og.
7.Axe polo
8.Hayaat
9.Dark fever
10. Dirham
Mkuuu moja Kati ya hizi bidhaa ni kwere inkaa kwenye nguo 24hours na zaid depends na mazingira unashinda ww
Mademu nje nje huvutiwa na zile harufu quite and smooth haikeri .Sijaweka bei lkn angalau uwe na 25k utaopoa mojawapo kila la kheri katika Safar ya kuwa gentleman