kingchillo2009
Member
- Sep 25, 2020
- 69
- 88
Jamani nataka kujua ada ya law school na je ninaweza kukopeshwa au ni kujitegemea tu? Nawasilisha ahsanteni
Mkuu ni law school of Tz Ada 1.5m you pay cash before admittedjaman nataka kujua ada ya law school na je ninaweza kukopeshwa au ni kujitegemea tu ? nawasilisha ahsanteni
Hakuna michango zaidi ya pesa ya kununua statutes na pesa yko ya chakula na nauliNatanguliza shukran...
.. hio 1.5m. .. ni ada na michango inakuaje wasomi
Hiyo imecover mambo yote Mkuu ila sio 1.5 kamili ina vichenchi chenchi inafika around Milion 1 laki 5 elfu 60 ingia webdite ya chuo utaona kila kitu Mkuu.Natanguliza shukran...
.. hio 1.5m. .. ni ada na michango inakuaje wasomi