Anayejiita "mbunge" Iramba Magharibi ahamia CHADEMA!

teh teh teh ..... usipende kukimbilia thread ... fungua thread ukitegemea lolote lile ...

kama habari hii ingekuwa kwenye jukwaa la jokes/udaku wala nisingeshangaa!! na kama sio udaku basi ilipaswa kuandikwa kwa kuzingatia uzito wa taarifa yenyewe na impact kwa wasomaji..... nimeona huko juu mwandishi wa hii thread ameweka personal attacks kwa watu walio m-criticize BUT i believe hata kwa wana CDM wenyewe hili halifurahishi hata kidogo!!

Du! Inasikitisha kufanya jukwaa hili linaloheshimika kuwa kichaka cha heading za UDAKU! Mleta mada anatakiwa ajue kuwa huku ni sehemu ya facts tu si sehemu ya kuleta upuuzi bwn. Alivyotengeneza heading haijapendeza kabisa.

Thanks Paul Kijoka, maana vijana sijui ni kuwa hawajui habari gani iandikwe wapi au la!!!
 
Last edited by a moderator:
kama habari hii ingekuwa kwenye jukwaa la jokes/udaku wala nisingeshangaa!! na kama sio udaku basi ilipaswa kuandikwa kwa kuzingatia uzito wa taarifa yenyewe na impact kwa wasomaji..... nimeona huko juu mwandishi wa hii thread ameweka personal attacks kwa watu walio m-criticize BUT i believe hata kwa wana CDM wenyewe hili halifurahishi hata kidogo!!

Thanks Paul Kijoka, maana vijana sijui ni kuwa hawajui habari gani iandikwe wapi au la!!!

Ni kweli mkuu. Nadhani mods wasiwe wanaondoa threads za kufichua uozo wa viongozi tu ila waondoe na pumba kama hizi ili watu wajifunze maana JF ndo kimbilio la wanyonge ambapo sauti yao husikika and on time!!!!!! Wasipofanya hivi basi hadhi itashukia na watu tutalikimbia,
 
Kuna siku hapa mtakutana na Heading ya RAIS AJIUNGA RASMI NA CHADEMA, na utakapoingia ndani ndio utagunduwa kumbe ni Rais wa Ngwasuma au Rais wa wapanda baiskeli.
Huu muda sasa ni bora nianywe bia tu maana Pasco alishatuharibia siku tangu asubuhi. today JF is bore-ring.
 
Ccm sasa ni baiskeli ya miti haiwezi kuhimili safari ndefu. Wananchi wamegundua cdm ni gari kubwa wana uhakika na safari yao. Viva cdm
 
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa, mzee mmmoja anayejulikana kwa jina la Nzuankende Kitundu almaarufu kwa jina la MBUNGE wa Kijiji cha misigiri wilayani Iramba mkoani Singida amehama chama chake cha CCM na kuhamia CHADEMA.

.
Mhh majina mengine ukiyachukulia kwa kiswahili du balaa tupu
 
Back
Top Bottom