Generally faraji
Member
- Jan 29, 2013
- 47
- 0
Naomben mnfahamxhe kuhsu sengerema sec mazngra na taaluma kwa ujumla bla kusahau miundo mbinu ka maj na umeme
Naomben mnfahamxhe kuhsu sengerema sec mazngra na taaluma kwa ujumla bla kusahau miundo mbinu ka maj na umeme
kaka angu alipita hapo last year ilikuwa fulu misala 2 walishapiganaga wanafunz na wanakjj kisa demu mali za wananch zikaaribiwa ikiwemo kung'oa geti
Loh huko ndiko kusoma kwa kaka yako, kwani na wewe unasoma kwa mtindo huo, halafu baadaye utasema waalimu hawahudhurii vipindi
kama ndo hvyo mbona bas mbona alfaulu sa hv yuko unversity acha kuropoka
Sasa kama ilikuwa nzuri akafaulu si ungemwambia tu kuwa ni nzuri sasa hiyo habari unayomdokeza alikuambia kuwa anaiweza mdogo wangu. wanadamu hawafafanani kila mtu anatembea kwa kile alichojaliwa yeye kama yeye binafsi. Habari ya kuropoka ni tafsiri tu ya makuzi yako
Wanafunzi wa pale jina la utani wanaitwa -------