Anayeifahamu Shule ya Sekondari Buhongwa jijini Mwanza anishauri

Habari wakuu!

Katika ajira mbadala za WAALIMU, zilizo toka 27/4/2019.

Nime bahatika, baada ya KUSOTA Sana, na kwa mbinde SAAANA!

Yaani acha tu, mengine si ya kuweka online!

Naomba anaye IFAHAMU hata kwa kiasi ani SHAURI IN and OUT na kwa halmashauri in general jinsi muijuavyo MWANZA mm niko mikoani tu huku.

ASANTE
Ni shule nzuri tu . Waschana wako bweni lakini wavulana na baadhi ya waschana kidogo ni day. Perfomence yake kama unavyojuwa shule za serikali si juu sana kulinganisha na shule za masista eg Hollyfamily, Loretto , Musabe zote za jijini Mwz
 
Sawa mkuu,
Ntaenda, nashukuru kwa USHAURI
 
Shida ilioko pale ni maji kwa wanafunzi wa bweni. Changamoto zingine ni za kawaida. Pia usiwe na hofu japo ni pembeni kidogo na city centre lakini Buhongwa ni kituo kikubwa tu.
Asante?

Ila wanapata shida ya MAJI wakati wako ziwan???
 
Dah nimemaliza hapo 2014. Usijifikirie mara mbilimbili, umeramba dume nenda kapige kazi.
 
Buhongwa sek iko wilaya ya nyamagana iko njia ya kwenda shinyanga ukitokea mjini,ni kilomita 15 tu kutoka mza mjini shule iko 0.5km kutoka barabara ya iendayo shinyanga,iko karibu na soko na buhongwa ambapo utapata kila aina ya vyakula na mbogamboga kwa bei ya wakulima kabisa,kwa kifupi umebahatika sana,pia kuna sehemu ya kula raha kidogo pale green park na rest africa ila km ww ni mpenzi wa guest za buku5 utateremka pale upendo guest karibu na wanaposimama matrific,changamoto ya buhongwa ni maji ila siyo lazima uishi kule unaeza ishi mkolani au mkuyuni na nyegezi mana nauli ni mia nne tu(400),kunae night club pale nyegez stend inaitwa kilimanjaro km ww ni mpnz wa take away(vigaroni),unakaribishwa NG'wanza.
Umempa dondoo nzuri
 
Habari wakuu!

Katika ajira mbadala za WAALIMU, zilizo toka 27/4/2019.

Nime bahatika, baada ya KUSOTA Sana, na kwa mbinde SAAANA!

Yaani acha tu, mengine si ya kuweka online!

Naomba anaye IFAHAMU hata kwa kiasi ani SHAURI IN and OUT na kwa halmashauri in general jinsi muijuavyo MWANZA mm niko mikoani tu huku.

ASANTE
Iko poa Karibu sana
 
Nenda kaitumikie nchi. Lazima utambue hizi ni juhudi za serikali ya awamu ya 5 na CCM kama tulivoahidi kubolesha maisha ya kila mtanzania na kuwatafutieni ajira
 
Habari wakuu!

Katika ajira mbadala za WAALIMU, zilizo toka 27/4/2019.

Nime bahatika, baada ya KUSOTA Sana, na kwa mbinde SAAANA!

Yaani acha tu, mengine si ya kuweka online!

Naomba anaye IFAHAMU hata kwa kiasi ani SHAURI IN and OUT na kwa halmashauri in general jinsi muijuavyo MWANZA mm niko mikoani tu huku.

ASANTE
utakutana na kichwa kimoja kina chakaza physics biology hapo,mwalim Nkanga,msalimu sana
 
Wewe boya umebahatika kukutoa kijijini wakakuweka pale Mjini kabisa.

Najiulizaga kwa nn nachukia ualimu kiasi hiki??😂
 
Back
Top Bottom