Mrejesho: Nashukuru kwa msaada wa WanaJF wote, sasa nipo Mwanza na nimeanza kazi

Admin1988

JF-Expert Member
Mar 30, 2017
1,603
1,835
Nawashukuru member wote wa JF.

Nilipangwa ajira Mwanza, Bhuongwa sekondari 27/04/2019. Nika leta uzi humu kuwa anaye ifahamu Bhuongwa sekondari anisaidie....!

Nashukuru nimepata msaada wa kutosha kutoka humu JF kuanzia malazi, kula, nyumba ya kupanga n.k. Nipo Mwanza kwa sasa tangu 08/07/2019 baada ya kuwa nilisha ripoti 07/05/2019.

Karibuni nyote Mwanza

Napia tuendelee kushirikiana. JF member ni watu wema, nimeishi kwao na nime kutana na members hapa Mwanza wengi na wenfine wako mikoani, but tumekubalina wakija Mwanza tutaonana.

Na kwa aliyepo Mwanza tuwasiliane!

Tufahamiane. Asanteni sana kwa yote wote

Mada yenyewe hii hapa: https://www.jamiiforums.com/threads...ari-buhongwa-jijini-mwanza-anishauri.1578544/
 
Nawashukuru member wote wa jf.

Nilipangwa ajira mwanza BHUONGWA SEKONDARI 27/04/2019.

Nika leta uzi humu kuwa anaye ifahamu BUHONGWA SEKONDARI anisaidie....!

NASHUKURU NIMEPATA MSAADA WA KUTOSHA KUTOKA HUMU JF
HADI MALAZI, KULA, NYUMBA YA KUPANGA N.K N.K N.K!

nipo mwanza kwa sasa tangia 08/07/2019 baada ya kuwa nilisha ripoti 07/05/2019.

KARIBUNI NYOTE MWANZA

NAPIA TUENDELEE KUSHIRIKIANA
JF MEMBER NI WATU WEMA, NIMEISHI KWAO NA NIME KUTANA NA MEMBERS HAPA MWANZA WENGI NA WENFINE WAKO MIKOANI, BUT TUMEKUBALINA WAKIJA MWANZA TUTAONANA.

na kwa aliyepo mwanza tuwasiliane!

TUFAHAMIANE.

ASANTENI SANA KWA YOTE WOTE
TUKUTAKIE KAZI NJEMA MKUU
 
Nawashukuru member wote wa JF.

Nilipangwa ajira Mwanza, Bhuongwa sekondari 27/04/2019. Nika leta uzi humu kuwa anaye ifahamu Bhuongwa sekondari anisaidie....!

Nashukuru nimepata msaada wa kutosha kutoka humu JF kuanzia malazi, kula, nyumba ya kupanga n.k. Nipo Mwanza kwa sasa tangu 08/07/2019 baada ya kuwa nilisha ripoti 07/05/2019.

Karibuni nyote Mwanza

Napia tuendelee kushirikiana. JF member ni watu wema, nimeishi kwao na nime kutana na members hapa Mwanza wengi na wenfine wako mikoani, but tumekubalina wakija Mwanza tutaonana.

Na kwa aliyepo Mwanza tuwasiliane!

Tufahamiane. Asanteni sana kwa yote wote
Safi chief ila kumhuka na wasiojulikana wamo humu humu!!
 
Asante Admin, Najisikia vema unapowashukuru members, nami najikuta ni kati ya members waliokupokea, tukala na kunywa pamoja...This is amazing Mr Admin
 
Nawashukuru member wote wa JF.

Nilipangwa ajira Mwanza, Bhuongwa sekondari 27/04/2019. Nika leta uzi humu kuwa anaye ifahamu Bhuongwa sekondari anisaidie....!

Nashukuru nimepata msaada wa kutosha kutoka humu JF kuanzia malazi, kula, nyumba ya kupanga n.k. Nipo Mwanza kwa sasa tangu 08/07/2019 baada ya kuwa nilisha ripoti 07/05/2019.

Karibuni nyote Mwanza

Napia tuendelee kushirikiana. JF member ni watu wema, nimeishi kwao na nime kutana na members hapa Mwanza wengi na wenfine wako mikoani, but tumekubalina wakija Mwanza tutaonana.

Na kwa aliyepo Mwanza tuwasiliane!

Tufahamiane. Asanteni sana kwa yote wote
Tufundishie wanetu kwauwezowako wote,sio tena uaze kuwavua vibandiko vyao
 
Nawashukuru member wote wa JF.

Nilipangwa ajira Mwanza, Bhuongwa sekondari 27/04/2019. Nika leta uzi humu kuwa anaye ifahamu Bhuongwa sekondari anisaidie....!

Nashukuru nimepata msaada wa kutosha kutoka humu JF kuanzia malazi, kula, nyumba ya kupanga n.k. Nipo Mwanza kwa sasa tangu 08/07/2019 baada ya kuwa nilisha ripoti 07/05/2019.

Karibuni nyote Mwanza

Napia tuendelee kushirikiana. JF member ni watu wema, nimeishi kwao na nime kutana na members hapa Mwanza wengi na wenfine wako mikoani, but tumekubalina wakija Mwanza tutaonana.

Na kwa aliyepo Mwanza tuwasiliane!

Tufahamiane. Asanteni sana kwa yote wote
Msalimie Deo Malimi Kisandu ni Mwl hapo Buhongwa Sec,mwambie tumemiss mno huku jf
 
Sema nakusihi kuwa makini na wanafunzi wako wa kike! Future haikawii kubadilika, maana hawa watoto naoo?
Umeamua kuwa mshauri na mpaka mafuta wa unajisi wa watoto!??

Nilitegemea umkemee lakini unamwambia kwa lugha laini kama vile ni kitu cha fahari sana??
 
Muda si mrefu narudi kitaani kwetu Buhongwa..Nitakucheki mkuu wangu ila kuwa makini na wanaolala hapo shuleni..
 
Back
Top Bottom