naomba kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 253
- 213
Mkuu, mdogo wako kama ameitwa kwenye interview maana yake aliomba kazi hapo.Habarini za asubuhi,
Mdogo wangu wa kike ameitwa kwenye interview siku ya jumatatu na iyo kampuni
Nataka kujua yafuatayo
Iyo kampuni ipo wapi?
Inajishughulisha na nini?
Interview zao uwa zipoje ?
Na mengineyo ya ziada mwenye kujua basi anijuze zaidi nimfikishie dogo ajipange
Karibuni
Nimekuelewa mkuu asante sana, dogo aliniambia kuwa yeye alikuwa anafanya iliHaya maswali muulize mdogo wako, aliombaje kazi, tangazo la kazi aliliona wapi, alitumia njia gani ya mawasiliano au anuani katika kuomba hiyo kazi, kama ni email au alipeka moja kwa moja.
Kwenye bango la tangazo la kazi, kampuni yoyote ile hua inaanza na utangulizi kuhusu hiyo kampuni, je kwenye tangazo la kazi hakuona kampuni inahusika na nini?
Ukipata majibu ya hayo maswali kama hutaridhika ndio ulete hapa dawau wakusaidie.
Kumbuka, Kama kampuni inatumia email ila inatumia public domain kama gmail, yahoo hizo uwe nazo makini, 98% hua ni matapeli. Kingine jina tula kampuni linaweza kukupa mashaka, kioo? Alafu ukiona wanasema sijui international pia hao ni matapeli
Vitanzania kwa kiherehere bwana,, yaani haviwezi kuelekeza tu Mara moja mpaka vikuchambue wee! Hivi kama.mtu hapajui mahali kuna ubaya gani ukikaa kimya? Angalau wewe mkuu umempa pa kuanzia, sasa sijui kama hiyo ni Keko au Chang'ombe ile. Aende maeneo hayo barabara inaitwa Saza kama sikosei. Akiwa na barabara ya Nelson Mandela akiwa anaelekea Chang'ombe ashukie Oil Com mbele kidogo ya VF Mistry. Akiwa hapo aulize hata mtoto mdogo Kioo limited ataoneshwa.Nlikuwa naenda kuokota vioo akati nikiwa mdogo aisee. Kwa ajili ya kuweka juu ya fensi. Nimetoka dar siku ila uelekeo wa keko kama sikosei
Ok shukraniHiki ni kiwanda kina husika na utengezaji wa chupa, kilikuwa kina milikiwa na marehemu Chande. Kipo nyuma ya kiwanda cha mabati Alaf, pia kina pakana na kiwanda cha Nondo Kamali Steel.
Kama unapanda daladala shuka kituo cha Vetenary (mapambano) eneo maarufu ambapo wanauza vifaa vya ujenzi hasa mabati ambayo ni reject hapo ni lazima uulize maana kiwanda cha KIOO LTD kipo ndani kidogo.
Ajitahidi kumchekea yule muhindi HR na kuna vijana wa kihindi pale hutakosa shemeji mdosiOk shukrani
sent using bombadia
Malipo yao yapoje mkuu?Ajitahidi kumchekea yule muhindi HR na kuna vijana wa kihindi pale hutakosa shemeji mdosi
Mtoa mada ayo yote anayajua lakini anataka kuijua kampuni kiundani zaidi anaefanya kazi Apo atakua na mengi zaidi wewe kama ni mtu wa kazi utaelewa Nini kamaanisha.Haya maswali muulize mdogo wako, aliombaje kazi, tangazo la kazi aliliona wapi, alitumia njia gani ya mawasiliano au anuani katika kuomba hiyo kazi, kama ni email au alipeka moja kwa moja.
Kwenye bango la tangazo la kazi, kampuni yoyote ile hua inaanza na utangulizi kuhusu hiyo kampuni, je kwenye tangazo la kazi hakuona kampuni inahusika na nini?
Ukipata majibu ya hayo maswali kama hutaridhika ndio ulete hapa dawau wakusaidie.
Kumbuka, Kama kampuni inatumia email ila inatumia public domain kama gmail, yahoo hizo uwe nazo makini, 98% hua ni matapeli. Kingine jina tula kampuni linaweza kukupa mashaka, kioo? Alafu ukiona wanasema sijui international pia hao ni matapeli
Niambie ameomba position gani nikusaidie estimation ya mshahara hyo sehem naijua hata last month nilienda kufanya interview pale.Malipo yao yapoje mkuu?
Mkuu ndugu yangu ametuma tu cv yake, ila wamemuita kwenye enterview ila position hajaambiwaNiambie ameomba position gani nikusaidie estimation ya mshahara hyo sehem naijua hata last month nilienda kufanya interview pale.
Ndio staili yao hyo huwa hawasemi position waliyokuitia.Mkuu ndugu yangu ametuma tu cv yake, ila wamemuita kwenye enterview ila position hajaambiwa
Amesomea degree ya computer na ameambiwa aende na peni
Inawezekana pia maana Wana kiwanda kingine Cha chupa kipo Mombasa.
Mkuu naomba niku PM
Ondoa shakaWrite your reply...
PumbavVitanzania kwa kiherehere bwana,, yaani haviwezi kuelekeza tu Mara moja mpaka vikuchambue wee! Hivi kama.mtu hapajui mahali kuna ubaya gani ukikaa kimya? Angalau wewe mkuu umempa pa kuanzia, sasa sijui kama hiyo ni Keko au Chang'ombe ile. Aende maeneo hayo barabara inaitwa Saza kama sikosei. Akiwa na barabara ya Nelson Mandela akiwa anaelekea Chang'ombe ashukie Oil Com mbele kidogo ya VF Mistry. Akiwa hapo aulize hata mtoto mdogo Kioo limited ataoneshwa.
Nokho ndie pumbav!Pumbav