Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Hovyo kabisa huyu.. mzima wewe shem..
achana na matope huyo!
Mi mzima kabisa shem wangu, ila nimekumisooo.....!!!!!!!
Hovyo kabisa huyu.. mzima wewe shem..
Kweli wewe "TOPE" kama jina la id yako!Nawakaribisha kina dada wote wanaotaka mtoto ili walee peke yao kama upo tayari ni email allankisojoko@gmail.com
Volunteers wengi mno wala hatuhitaji donors! Mie mwenyewe namsubiria klyn vimapacha vyake vikue nikambake mengi. Nataka urithi mlamua.
Siku hizi hata sperm donor tunachangua kwa kuangalia akili. Are you intelligent? Mambo ya kuzaa mtoto unasukuma kwenda shule hadi unakufa kihoro hatutaki.
Hahah ulivyotaja hiyo habari ya Jaque ndio kama umenifungua macho...
Kumbe ndiyo technique wadada wa mujini wanafanya eenh...halafu nikamsoma na lara 1 hapo juu...lol
Teh teh teh....vijana wa kileo wanafikiria kwa karibu sana. Ukimsogelea atataka umlipe ingawa kuna uwezekano mbegu anayotoa itazaa mchicha pori
Nawakaribisha kina dada wote wanaotaka mtoto ili walee peke yao kama upo tayari ni email allankisojoko@gmail.com
Mkuu ukiona Id yake ndo utajua kichwani badala ya ubongo ana nini!??
Umeona eeh. Wakati kuna proved potential fathers! Na inakuwa bahati mbaya unatoa tangazo na machozi na kamasi za mwaka mzima! Make him feel guilty and he pays all the bills teh. So evil me on a sunday as beautiful as this!
Hahahah....
Mimi bana as seriously do need a baby (Not just any baby but A SUPREME BABY) Sasa sio kirahisi. Embu kwanza nifafanulie
1. GENETICS ZAKO ZINALIPA?????? Like how tall are you? Looks? Colour? Dental formula?
2. MAGONJWA YA KURITHI VIPI???? Anaemia? Sicko Cell? Diabetes?
3. IQ yako ikoje?
No wonder sina katoto hadi leo! Kuchamba kwingi kutoka na.........!!!!! Ila there is 1 guy amefaulu hizi requirement zote! The IQ ndo usisemeee! Tatizo sasa hio foleni yake kumpata??? Akimkosea mdada wengine tunashukuru tuhamie Airtel, Mdada mwenyewe anaomba msamaha! DAH! Inakuwa bilabila! Na mgumu wa kwenda kavu! Mtu anakaribia 40 hana hata mtoto wa dawa! Khaaaaaaaaa!