Habari wanabodi
Kwa wale wafanyabiashara ya mitandao hasa M-PESA nina line ya Head office Till (Wakala mkuu)inauzwa kwa anayehitaji anione au nitumie pm
Asanteni!!!!
Updates
Imebaki line moja kati ya mbili zilizokuwepo anayehitaji tuwasiliane haraka kabla hujachelewa!!!!!
kila mtu unataka aku-pm, ni biashara ya laini au mapenzi?Tangazo ni kwa ajili ya wanaohitaji,hulazimishwi kuhitaji!!! Kila mtu ana uhuru wa kutsngaza biashara yake,huku sio jukwaa la chit chat!!
Wekeni bei adharani ili kama sii wezi niachane nayoo