Anayehitaji kusafirishiwa parcel au mzigo Mby-Dar-Mby

Anayehitaji kusafirishiwa parcel au mzigo Mby-Dar-Mby

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Huwa nafanya safari za Mby -dar-mby kwa kutumia Gari Noah.
Safari hizi huanzia Mby MJINI/ au Uyole hadi Shekilango Dar. Hufanyika jioni, hivyo kuingia Mby au dar alfajili au asubuhi kabla ya SAA 4 asbh.
Niagize mzigo au parcel yoyote ya ukubwa wastani, nitakufikushia bila shaka, tayari watu wanafanya hivyo bila tatizo...Pia unaweza kusafiri mwenyewe na mizigo yako endapo una mzigo wa pesa ya kutosha, ni kama una kodi. Mfano juzi alhamis kutoka dar mteja mmoja alikuwa na mizigo yake akalipia gharama yangu 300,000 dar-mbeya akasafiri na vitu vyake safi kabisa. Karibu nawe, tusaidiane kukimbiza maisha!!
0687072066.
 
Mfano gunia la mahindi au mchele mnasafirishia bei gani? na uaminifu upo vipi
 
Back
Top Bottom