mwaura Tesha
Member
- Oct 18, 2014
- 48
- 22
Hawezi wala hata kujaribu unajua kuna TV ngapi na redio ngapi Zimbabwe linganisha na tz unajua kuna NGO ngapi uliza kwa Mgabe unajua kuna vyama vingapi vya siasa kaulize na Zimbabwe Yangu wapate Uhuru wanaamini Mgabe ndio baba Yake so TanzaniaKuna hatari huyu mtukufu akaji "ROBERT MUGABE" kwa kukaa milele!!
Wewe mwerevu mbona unashindwa kunielewesha badala yake unabwabwaja kama mmeo kakuacha?Maswali ya kijinga yote!! Shit, fikiri ya kesho maana ya leo umesha yafika.
Hiyo ni picha yako mwenyewe wala haina ukweli hata kesho sio tu siku zijazo, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50, kufukuzwa hao wahuni wachache ndani ya ccm unadhani ni hatari kwa chama? Kama unawaza hivyo unajidanganya mkuu, kuna watu walishafanya CCM ni taasisi zao na familia zao na rafiki zao! Sasa Mwenyekiti Magufuli anataka kukifanya chama kiwe huru na kila mtu aheshimike kwa uwezo wake wa kichwani na sio hela!Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Acha unafiki wacha tusafishe makapi wanaoimba CCM mchana usiku wako kwa mamviHii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Heh heh hadi watimuliwe ndio upinzani unaimarika,kwa mpango huu wa kusubiri waliotimuliwa ndio mdhani mtachukua nchi mumenoa stepUpinzani unazidi kuimarika,viva Jmp kwa kuliona hili.
Una matatizo binafsi unataka yawe yetu wote. No way!Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Unataka tusaidieje mkuu?Hii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Mimi ni mmoja wapo. Ndiyo majibu ya maombi. Ukininyang'anya mke wangu halafu mimi nikaacha kukufanyia fujo badala yake nitamwambia Mungu pigana naye huyo ndivyo inakuwaga. Wakati mwingine muwe mnawasikiliza wenye maono kama kina TB Joshua. Wakiona huwa hawanyamazi wanasema tena hadharani. HawafichagiHii ni dalili mbaya kwa taifa tena mbaya sana na anayefurahia akiamini kuwa ni la ccm wacha wababuane wenyewe ana haja ya kujipima maana haifikirii kesho yake,
Napata picha mbaya siku za usoni.
Hakuna kitu kama hicho. Labda amuue Yesu Xto kwanza. Wanamshauri hivyo wanajidanganya wao na yeye pia. This will only happen when and if Jesus Christ dies otherwise it's just makida makidaKuna hatari huyu mtukufu akaji "ROBERT MUGABE" kwa kukaa milele!!