Thomas george Ndaki
Member
- Apr 30, 2018
- 9
- 4
Nikichukua degree ya science general (microbiology & chemistry ) nitafanya kazi gani,,, na je kazi zipo? Msaada plz
OK sasaa nikibaki na hyoo VP location ya kazi maeneo ganiSoma mkuu.
Mimi ningekushauri ubaki na Microbiology pekee ndio inakuwa vizuri zaidi
Utakuwa specific maabara.OK sasaa nikibaki na hyoo VP location ya kazi maeneo gani
Haikuwa my first priority but nikajikuta wamenichagua pia home hali ngumu hawakuweza kunielewa nisiende chuoUnaweza kueleza kwanini umeichagua?
OK nashukuru na kama maabala VP aliyesoma medical lab kunautofaut gani na mmUtakuwa specific maabara.
Medical lab imegawanyika mafungu hayaOK nashukuru na kama maabala VP aliyesoma medical lab kunautofaut gani na mm
Mbona combination hiyo ni very strange....Nikichukua degree ya science general (microbiology & chemistry ) nitafanya kazi gani,,, na je kazi zipo? Msaada plz
Mgawanyiko huu umeupata wapi mkuu??Medical lab imegawanyika mafungu haya
1. Medical lab in Parasitology
2. Medical lab General
3. Medical lab in Microbiology and Immunology
4. Medical lab in Biochemistry
Ambapo kazi yao inakuwa kwenye maabara za Mahospital.
Na wewe pia unaweza kuwa kwenye mahospital
Utofauti ebu angalia kwa huo muainisho wa kozi za Medical lab.
Anaweza kufanya kazi Maabara ila sio maabara za hospital..Medical lab imegawanyika mafungu haya
1. Medical lab in Parasitology
2. Medical lab General
3. Medical lab in Microbiology and Immunology
4. Medical lab in Biochemistry
Ambapo kazi yao inakuwa kwenye maabara za Mahospital.
Na wewe pia unaweza kuwa kwenye mahospital
Utofauti ebu angalia kwa huo muainisho wa kozi za Medical lab.
Nilikosea mkuu, mgawanyo sahihi huu hapa.Mgawanyiko huu umeupata wapi mkuu??
MLS hiyo ni general kwahivyo hizo ulotaja chini zote hapo zinaingia katika MLS ndio maana hata ukiangalia hao Muhimbili wameweka - IN - hizo ni specialization parts za MLS pamoja na Microbiology and Immunology ambayo haipo hapo katika ulozitajaNilikosea mkuu, mgawanyo sahihi huu hapa.
-Bachelor of Medical Laboratory Sciences (BMLS)
-BMLS Haematology and Blood Transfusion
-BMLS Parasitology and Medical Entomology
-BMLS Clinical Chemistry
-BMLS Histotechnology
Source: MUHAS undergraduate progrmmes
MLS hiyo ni general kwahivyo hizo ulotaja chini zote hapo zinaingia katika MLS ndio maana hata ukiangalia hao Muhimbili wameweka - IN - hizo ni specialization parts za MLS pamoja na Microbiology and Immunology ambayo haipo hapo katika ulozitaja
Hii ni moja ya course nzuri sana pia ina sehem nyingi za kufanya kazi kusoma kwake haina tofauti sana na Medical microbiology parts wanazosoma ndio hizo hizo Bacteriology, Virology, Mycology, immunology na pia parasitology..Hii nilikuwa naikumbuka toka mwanzo ila nilipoenda kuzicopy zile, nikasahau kama ilikosekana.
Uko sahihi mkuu jinsi ulivyofafanua.
Sasa kuhusu mleta mada kuuliza kuhusu Bachelor ya Microbiology unaweza kuifafanua kidogo ili tuweze kumsaidia kufanya maamuzi sahihi.
Jamii forum ingekuwa na asilimia kubwa ya watu constructive and generous kama Mwifa Said & remedy 50,ingekuwa na msaada sana kwa wengi.Big up BrodaaaHii ni moja ya course nzuri sana pia ina sehem nyingi za kufanya kazi kusoma kwake haina tofauti sana na Medical microbiology parts wanazosoma ndio hizo hizo Bacteriology, Virology, Mycology, immunology na pia parasitology..
Mi si mjuzi sana wa hii mi naelewa sana Medical microbiology mwenye nyongeza ruhsa kunikosoa au kuongeza.