Wewe acha kumdanganya huyuMkuu wangu, unataka kufanya utalii? Kuna Pida, Bitaraguru, Manyamanyama, Kiabakari, Nyakanga, Nyamuswa, Nyakiswa, Kamgegi nk. We unaupenda mlima gani?
Home sweet home... Ngoja waje wajuvi WA mambo.Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?
Naona umeamua kutaka maeneo ya wilaya ya bunda na sio mlimaMkuu wangu, unataka kufanya utalii? Kuna Pida, Bitaraguru, Manyamanyama, Kiabakari, Nyakanga, Nyamuswa, Nyakiswa, Kamgegi nk. We unaupenda mlima gani?
Mmh huo wa chigaga hauwez kuwa mrefu kuliko yote, huo ni sawa tu na ule wa Nansimo tuMlima mrefu kyliko yote uko kule kibara bunda sehemu moja inaitwa CHIGAGA..Mwigundu
Naona umeamua kutaka maeneo ya wilaya ya bunda na sio mlima[/QUOTE
mlima mrefu kuliko yote mkoa wa mara ni mlima chamriho, uko maeneo ya nyamuswa umeungana na mlima balili wa bunda, kwenye huo mlima inasemekana kuna vitu wajerumani wamefukia juu ya mlima. pia ndio mlima mrefu kuliko yote kanda ya ziwaAnayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?