Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Mlima Rorya ndiyo mrefu kuliko yote mkoani Mara, upo karibu na kowak girls secondary school pia uko wilayani rorya, uko umbali wa kilometa zaidi ya 40 kutoka njia panda ya Gachuma-Tarime-Nyamongo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom