Mnyalu Junior
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 573
- 200
Katika kufanya tathmini ni king'amzi gani ambacho naweza kutazama bure televisheni za ndani (Local Channels) nimegundua kuwa ni StarTimes. Baadhi ya wadau wanadai ndo king'amuzi pekee ambacho serikali ya Tanzania ina hisa nacho.
Hivi karibuni nilipiga simu StarTimes huduma kwa wateja na kuulizia km ving'amzi vyao vinashika hata huku mikoani na kwenye wilaya hususani zilizo mbali na manispaa AKANIJIBU vinashika bila shida.
Lakini juzi nilikuwa manispaa ya mkoa fulani na nikaulizia bei ya king'amzi hicho na kumuuliza iwapo vinashika hata kwenye wilaya zilizo nje na manispaa AKANIJIBU havishiki. Vinashika ndani ya manispaa tu!
Wadau nisaidieni kunijuza kuhusu hili, Je, ni kweli vinashika nje ya manispaa au la?
startimes haina ishu mkuu, ni sawa utapata local bila kulipia ila ni kwa king'amuzi cha antena pekee, huku bush tunawapata kwa satellite dish na usipolipia chanel zao zoote wanafunga
Katika kufanya tathmini ni king'amzi gani ambacho naweza kutazama bure televisheni za ndani (Local Channels) nimegundua kuwa ni StarTimes. Baadhi ya wadau wanadai ndo king'amuzi pekee ambacho serikali ya Tanzania ina hisa nacho.
Hivi karibuni nilipiga simu StarTimes huduma kwa wateja na kuulizia km ving'amzi vyao vinashika hata huku mikoani na kwenye wilaya hususani zilizo mbali na manispaa AKANIJIBU vinashika bila shida.
Lakini juzi nilikuwa manispaa ya mkoa fulani na nikaulizia bei ya king'amzi hicho na kumuuliza iwapo vinashika hata kwenye wilaya zilizo nje na manispaa AKANIJIBU havishiki. Vinashika ndani ya manispaa tu!
Wadau nisaidieni kunijuza kuhusu hili, Je, ni kweli vinashika nje ya manispaa au la?
Azam sasa hiv local unapata bure
Wee Mnyalu wenzako wanakuenjoy tu hapo, wameshagundua kuwa wewe ni mlugaluga fulani hivi wa IdodiKwahiyo mkuu unanambia kwamba satellite dishi yenyewe inashika hadi vijijin ila tatizo lake ndo hilo usipolipia hupati hta local channels?Azam sasa hiv local unapata bureYa kweli haya??
Ya kweli haya??
Ni kweli, ninamwezi wa pili sijalipia na local hawajakata, tangu watangaze bei mpya ya packages zao wamesitisha kukata local.
Pia azam tv leo wameongeza Star Tv zote ni bure. So waunge mkono azam ila kama unataka kuliwa nenda starttimes
Ahsante mkuu. Natumia dish kubwa (mediacom) nikijiridhsha na maelezo yko ntalifungua hili dish kubwa na kwenda kuuza scraper coz chanel full kuzingua, sasahiv naangaliaga chanel moja tbc pekee
Huu sasa ni mradi wa watu. Hivi hawa TCRA wakoje?
Kwahiyo mkuu unanambia kwamba satellite dishi yenyewe inashika hadi vijijin ila tatizo lake ndo hilo usipolipia hupati hta local channels?