Anayefahamu kiwango cha mshahara wa Mwalimu

Anayefahamu kiwango cha mshahara wa Mwalimu

Hahahaa, sasa hasira za nini kijana? nimecheka sana, ndiyo bhana hayo ndiyo maisha bhana!...lol
 
Hili la kupita kama hufahamu limenipa raha sana!!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kama haufahamu wewe pita tuu...

Hah!hahahaha!! Hii mpya humu jukwaani. Maana kuna majibu humu ni noumer.
 
Haizidi 350000 kwa diploma take home na degree haizid 450000 take home
 
bwana Arovera degree anayeanza yuko 467,000 ya kupeleka nyumbani
 
ni 432500 basic salary kisha toa income tax 36605, pension 21625 cwt sh 8000 na bima ya afya 12975 salio ndio take home
 
ni 432500 basic salary kisha toa income tax 36605, pension 21625 cwt sh 8000 na bima ya afya 12975 salio ndio take home

huo ni mshahara au posho ya mbunge wa bunge la katiba?
 
Back
Top Bottom