Anayefahamu kiwango cha mshahara wa Mwalimu

Anayefahamu kiwango cha mshahara wa Mwalimu

Walimu wanatakiwa wajitazame upya na huu mwendo wa woga uwatoke. Kinachonisikitisha ni kwamba kwenye office za halmashauri hata mfagiaji anaweza kumkoromea mwl mwenye degree!! Wanapodai madai yao wanafanya kuomba kwa magoti! Huu ni upumbavu uliotukuka. Miaka yote upo shule, unakuja pata ajira Katavi. Usafiri wa basi siku mbili kutoka Dar, kisha unalipwa laki 3!! Nonsense.
 
Take home ni.10,000,000 kwa mwezi.BRN kwa mshahara huu lazima ifanikiwe.
 
uzuri wa ualimu wa siku hizi japo mishahara ni midogo lakini si lazima ufundishe kiukweli ukweli mpaka wanafunzi wakuelewe ww fundisha kulingana na mshahara, kama tanesco na luku(lipia umeme kadiri utumiavyo) sasa walimu fanyeni hivi(fundisha kadiri ulipwavyo).
 
Back
Top Bottom