Anayefahamu hili tusaidiane jamani.

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
230
Naomba yeyote mwenye uelewa anissaidie kunako hili.
Je Tablet pc program zake zinafanana na pcnyingine kama laptop na desktop? Pia hizi tablet zinafaa kwa matumizi yapi zaidi?
Msaada tafadhali bandugu.
 
Tablets zinatumia operating system tofauti na desktops au notebooks, hivyo applications zake ni tofauti lakini zinafanya kazi sawa na applications za computer nyingine

Matumizi ya tablets ni sawa na matumizi ya computer nyingine maana kinachotumika ni applications, hivyo ukipata application kwa ajili ya kazi unayotaka kufanya itafanya kazi sawa na unavyotumia noteboo au desktop
 
UNAPOULIZA SWALI WEKA ????? ILI TUELEWE SWALI LIKO WAPI.

ok. inategemea na aina ya tablet unayotaka kujua. mfano sumsung na aina nyingi za tablets wanatumia Android ambayo pia kuna version ya for desktop computer. windows nao wametoa tablet zao zinazotumia windows OS, kama ilivyo MAC Tablets

Chochote unachoweza kufanya kwenye PC unaweza kufanya kwenye Tablets, inategea na application ulizo nazo kwenye tablets yako
 
Back
Top Bottom