A Adm Senior Member Joined Sep 19, 2010 Posts 149 Reaction score 45 Apr 9, 2011 #1 Kwenu wanajf,nataka nifanye applications za kujiunga na vyuo vinavyotoa clinical officers.Lakin bahati mbaya sivifaham vyuo(hususan vyuo binafsi) na mahali vilipo hapa nchini.Naomba anayefaham anijuze
Kwenu wanajf,nataka nifanye applications za kujiunga na vyuo vinavyotoa clinical officers.Lakin bahati mbaya sivifaham vyuo(hususan vyuo binafsi) na mahali vilipo hapa nchini.Naomba anayefaham anijuze
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 Apr 9, 2011 #2 Mimi najua CoTC ya Kibaha, ndani ya Shirika la Elimu Kibaha. Nasikia kuna cha Morogoro, Mtwara na Ruvuma, ila sijafika huko.
Mimi najua CoTC ya Kibaha, ndani ya Shirika la Elimu Kibaha. Nasikia kuna cha Morogoro, Mtwara na Ruvuma, ila sijafika huko.