Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

Hivi ninyi mnafahamu kweli malaika? Jini mwenyewe hawezi kuanguka. Hao ni viumbe wa kiroho wataangukaje iwapo wawezaingia ndani ya nyumba mkiwa mmefunga kila mahali? Malaika aweza kupenya popote na wala hakuna wa kumzuia. Kwanza malaika akitokea mahali ule utukufu wake tu watu wanapigwa mweleka na kuanza kusujudi na kulia wakidhani ndiye Mungu kumbe la!. Achana kabisa na mambo ya kiroho ni habari nyingine. Kwanza malaika hawezi kumtokea mtu yeyote maana ni mjumbe maalum wa Mungu kwa mwanadamu aliyepewa kazi na Mungu. Sana sana hicho kiumbe nadhani ni mchawi tu wa kizungu kaanguka na ungo lakini kwa kuwa wazungu hawaamini kuwepo kwa wachawi wa ungo basi wanamlinganisha na malaika kisa eti ameanguka kutoka juu. Wazungu wengi hawajui na wala hawaamini mambo ya kiroho wamejikita tu kisayansi lakini kuna baadhi yao ni wachawi wa kutupwa na wanawanyanasa sana.
 
Hii habari utaipata kwenye media za nchi masikini tu kama Tanzania.huwezi kusikia bbc au cnn wanatangaza huu upuuzi.

kweli kabisa mkuu...hata Al-jazeera na DW au VoA
attachment.php
 
It is just a hoax watu wametengeneza na ingekuwa kweli wasingeweka kiune kama hicho kwenye zoo wangempeleka kwenye maabara za uchunguzi
 
Ukiona umeamini huu ujinga jua kichwani hamna kitu..empty...void...vacuum head!!!
 
sio kweli, imeshakanushwa hii taarifa..

walikuwa location eti, haahaahaa
 
kufuru nyingine hizi ...! ipo siku tutasikia wajinga wakisema Mungu kaanguka...!!! art work ya ki.$#□@# kweli *****...

Mkuu usikie mara ngapi kwani hujui kama kuna Mungu alishawahi kushuka akawakorofisha wanadamu wakamtandika bakora na kumtundika uchi mtini na watu wanaamuni ni Mungu sasa kipi wanakataa kama huyo sio malaika? Wakati Mungu,nama yake na baba yake walikuja kitambo duniani sasa ni zamu ya malaika.
TUACHE UNAFIQ HUYO NI MALAIKA HASA TENA GABRIEL WA KWENYE BIBLE.
 
huu utakuwa ni ubunifu wa halii ya juu wa kukuza sekta ya utalii ye waingereza. wizara yetu ya mali asili na utalii waliangalie hili na wajiandae kuja na kudondoka kwa shetani.:teeth:
 
Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza na mamia ya watu yafurika kwenda kumtazama na huku akihifadhiwa kwenye zooo na kuwa kivutio cha utalii kwa watu!

Maswali:

1. Nani kathibisha kuwa huyo ni malaika?

2. Kwanini hajaanguka malaika mweusi.

3. Tokea kuumbwa kwa dunia hii haijapata kutokea malaika kuanguka, je huyu ni malaika wa aina gani?

4. Hizo nguo ameshonewa duniani au mbinguni?

5. Huyu malaika ni mwanaume au mwanamke?

6. Je huyo malaika mpaka sasa amekufa, amezinzia au amezimia mbona hanyanyuki?

7. Akitaka kuondoka itakuwaje huku akiwa amefungiwa?

Naomba akinyanyuka athibitishe kuwa yeye ni malaika aliyedrop from heaven!

Hivi leo ni April fools au?
 
People really fancy cr.a.p! The live in it, eat it and when it isn't enough, they create more of it.
 
Kweli kabisa mkuu...
hii habari ni uongo uliobobea
Bbau mwenyewe aliyejifanya Malaika ni huyu hapa\
02EE8C4900000578-3173113-image-a-1_1437728316926.jpg
02DD675400000578-3173113-image-a-3_1437728365506.jpg
02EC1F3800000578-3173113-image-a-2_1437728357068.jpg


2ACDC10900000578-3173113-Life_like_The_Angel_installation_by_Sun_Yuan_and_Peng_Yu_has_sho-a-1_1437737108728.jpg
2ACDC0ED00000578-3173113-Innovative_The_artists_use_material_such_as_human_fat_tissue_and-a-2_1437737117923.jpg
2ACDC11100000578-3173113-Thought_provoking_Yuan_and_Yu_use_their_art_to_challenge_percept-a-3_1437737123306.jpg
2ACDC10500000578-3173113-Blurred_lines_Passersby_stare_at_latest_installation_which_shows-a-4_1437737128313.jpg
Watu wanajua kuigiza nyie!
Sasa hata huyo malaika wa kufikirika huwaga hivyo kweli?

Huyu ni shetwani itakuwa! Maana mbawa zake zilivyonyonyolewa manyoya, atarukaje sasa akitaka kupaa kurejea mbinguni?

Amenasaje kwenye makila kijingajinga namna hiyo, nani kamtega na kumnasa?

Halafu hakunaga malaika wazee.
Wao ni vijana warembo wa siku zote.

Huyu kigagula anawakilisha sura ya malaika wa ibilisi wenye sura mbofumbofu!
 
Na sisi wanaoanguka na ungo yapaswa tuwahifadhi sehemu.
 
Habari si ya kweli :

Relax, people on social media. That image of the winged old lady in white is not an actual fallen angel, banished from heaven. We repeat, not an angel, or even an actual person whosoever.

It is actually an art installation from 2008 (that's ancient times in social media years) by Beijing artists Sun Yuan & Peng Yu for their work titled 'Angel'. The artists have used cadavers, among other materials, to create the hyper-realistic sculpture. This installation was an attempt to introduce imaginary and mythological subjects into regular, everyday life.

"The angel, an old woman in a white gown and with featherless wings, is lying face-down on the ground; maybe sleeping, maybe dead, but certainly immobile and frozen into an all too realistic image," it says on their website.
 
Hayana tofauti na yale ya fisi Ubungo, kuruka na ungo, na mengi mengineyo ya kizushi, kitapeli na uongo uliotukuka...
 
Katika vitu vilivyonifanya nifrahi leo ni hii habari ya malaika kuanguka
 
Back
Top Bottom