Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

Kweli hii kali WA kwetu wakidondoka wachawi ulaya malaika duuu! Kumbe binti ndembo akienda huko atapata malaika wengi. ( kumbe wao wakikamata mchawi wanamwita malaika? )
Sio kwa kukosoa huko mkuu, kwa hiyo umethibitisha ni mchawi?
 
Kweli wanadamu wamekuwa wajinga kupindukia,
aliyewaambia Malaika ana mwili ni nani.Hizi ndizo athari za kumuasi Mungu,hekima na busara vinapotea kabisa.Wanadamu ni lazima wajue kwamba kumjua Mungu ndicho chanzo cha maarifa.

Malaika hawana mwili,wao ni roho. Mwanga mnamuita Malaika,very stupid indeed.
 
Mbona hii habari ni ya takribani miaka mitatu iliyopita na ilishafafanuliwa kwamba huyo si malaika ila ulikuwa ni ubunifu tu wa wachina. Ina maana kwa kutumia akili za kawaida walikuwepo na bado wapo wanaoonekana kuamini kuwa huyo ni malaika?
 
Back
Top Bottom