Anayechafua Serikali ya Magufuli ni nani ?

******** kawekwa kimkakati......anaimaliza ccm yeye mwenyewe lakini kwakua ccm ni wajinga wanajua magu yupo upande wao.
 
Zao la shule ya kata
Huwezi kuwa sawa kiakili utasema je zao la shule wakati mimi hunijui? Wewe mwenye zao la shule bora uliyo soma mbona unasugua benchi hata leo? Kama elimu bora ni kupinga kila kitu basi wewe ilimu yako ime kunufaisha saana. By the way you are the santagona can't go through any more.
 
Ni sawa na yule aliyetukana wahanga wa tetemeko au nimeelewa vibaya? Hakuna wa kumtoa ila hataleta mageuzi kama unavyofikoria wewe na makahaba wenzio huko lumumba. Mawaita makahaba kwa sababu mnafurahia watu kuvunja ndoa zao. Madiwani na wabunge kuliko kujenga uchumi wa nchi
Sawa jifurahisheni
 
Nafikiri bro mchafuaji unamjua
Ni yule mtu asiye penda kukosolewa pamoja na watwana wake
Ambao kila wanapo vunja sheria wanapandishwa vyeo na kupewa likizo ya kwenda kuvinjari na pesa za mafukara walipa kodi
 
yey
Hili suali linanijia kila wakati na kuwaza sana.

Mienendo ya viongozi wetu na mwelekeo wao huathiri mwenendo wa nchi.

Natafakari wakati ule Rais Magufuli alivyoiningia katika uongozi namna alivyowatia watu wengi tamaa na imani kuwa sasa nchi inakwenda tunakotaka. Lakini ghafla tumeshuhudia mambo ambayo si ya kawaida hapa Tanzania.Ni wazi sasa upepo umegeuka na Tanzania ina taswira mbaya hapa NDANI NA NJE.

Kwanza kuanzia pale neno uzalendo lilipotafsiriwa kuwa ni kuunga mkono kila lifanywalo na watawala hata kama wanakosea na kuwadharau na kuwashughulikia wapingaji kuwa sio wazalendo hili lilikuwa pigo la kwanza. Kuanzia hapo nchi ikawa na visasi na migawanyiko.

Walau leo nataka tumjuwe anayechafuwa serikali ya Rais Magufuli kwani tatizo ni nini ?

Je, wanaochafuwa ni wale wanaoibua hoja na wakosoaji wakubwa wa Rais Magufuli kwenye awamu hii?

Au je ni wale wasiotaka watu kuhoji na kukosoa hata pale taratibu zinapovunjwa ? au ni nani?

Nilikuwa najiuliza kwa haya mambo yaliyopelekea kutokea matatizo kwenye nchi yetu hasa kwenye maeneo haya.

(a) Kuzuiwa maandamano na haki za kidemokrasia
(b) Bunge kukosa meno ya kuisimamia serikali
(c) Utekaji na mauaji
(d) Viongozi wa upinzani kusumbuliwa bila sababu
(e) Vyombo vya habari kuminywa kufanya kazi zao
(f) Viongozi wa serikali kuingilia mambo nyaliyo nje ya uwezo wao kisheria.
(g) Lugha za utata kutoka kwa viongozi n.k

Kupitia maeneo haya na mengine, nchi yetu imejikuta ikiwa na taswira mbaya leo. Sasa nani kayaleta haya wakati hayakuwepo kwa KIASI HIKI KABLA YA UTAWALA RAIS MAGUFULI?

Natarajia majibu yenye ufafanuzi mzuri .

Kishada[/QUOTYeye mwenyeweeeeeeee
na wewe muuliuzaaa swali
 
Wanaharibu wanaotazama kwa macho na kusikia lakini hawasemi au wanaotazama kijiko beleshi
 
Kishada
MAFISI YALIYOMZUNGUKA !!!!!!!!!
 
Mjenga na mvunjaji ni mwanainchi, APA tatizo ni wanaojua siasa,kuwadanganya wasio jua siasa , Sasa mkuu anatusaidia tusidanganywe,tayari wanauchu ,tabu ikwapi wakasubiri ifike kipindi husika,waendelee na siasa zawo hatuli siasa umeamua siasa kuwa ajira Fanya za kistarabu ,matusi ya nini unapomkebehi kiongozi wa nchi unawatukana waliomchagua Sasa kinacho Baki ni fitina tuu tambueni tumechoka na ngojera zenu acha muda ufike kuweni wasataarabu,fitina za vyama vingi vinaligawa taifa nafuu ya chama kimoja
 
Back
Top Bottom