Mwenye serikali yake.................N
Anayechafua serikali ya Magufuli ni nani ?
Ajira 52 elfu zimefika ngapi?1.Rais ni mwongo maana aliongea tarehe 14/10/2017 kuwa kuna Watumishi wa Umma 59,000+ watapandishwa madaraja mwezi Novemba lakini hadi sasa hajapanda hata mmoja.
2.Rais alisema baada ya uhakiki kumalizika kutakuwa na maslahi bora kwa Watumishi wa Umma lakini hadi sasa wamepewa za uso.
Waandishi wa habari hizi hazifai kupamba kwenye front page maana sijawahi kuziona.
Kutoka hifadhi ya misitu ya Madihani
Mwanachama wa CCM.
JPM for life.
JPM for Tanzania.
He is sent from above.
He is my vote 2020.
Maandiko matakatifu yameandika hivi " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " Yeremia 5:17Hili suali linanijia kila wakati na kuwaza sana.
Mienendo ya viongozi wetu na mwelekeo wao huathiri mwenendo wa nchi.
Natafakari wakati ule Rais JPM alivyoiningia katika uongozi namna alivyowatia watu wengi tamaa na imani kuwa sasa nchi inakwenda tunakotaka. Lakini ghafla tumeshuhudia mambo ambayo si ya kawaida hapa Tanzania.
Ni wazi sasa upepo umegeuka na Tanzania ina taswira mbaya hapa NDANI NA NJE.
Kwanza kuanzia pale neno uzalendo lilipotafsiriwa kuwa ni kuunga mkono kila lifanywalo na watawala hata kama wanakosea na kuwadharau na kuwashughulikia wapingaji kuwa sio wazalendo hili lilikuwa pigo la kwanza. Kuanzia hapo nchi ikawa na visasi na migawanyiko.
Walau leo nataka tumjuwe anayechafuwa serikali ya Magufuli kwani tatizo ni nini ?
Jee wanaochafuwa ni wale wanaoibua hoja na wakosoaji wakubwa wa JPM kwenye awamu hii ?
Au je ni wale wasiotaka watu kuhoji na kukosoa hata pale taratibu zinapovunjwa ? au ni nani ?
Nilikuwa najiuliza kwa haya mambo yaliyopelekea kutokea matatizo kwenye nchi yetu hasa kwenye maeneo haya.
(a) kuzuiwa maandamano na haki za kidemokrasia
(b) Bunge kukosa meno ya kuisimamia serikali
(c) Utekaji na mauaji
(d) Viongozi wa upinzani kusumbuliwa bila sababu
(e)Vyombo vya habari kuminywa kufanya kazi zao
(f) Viongozi wa serikali kuingilia mambo nyaliyo nje ya uwezo wao kisheria.
(g) Lugha za utata kutoka kwa viongozi n.k
Kupitia maeneo haya na mengine, nchi yetu imejikuta ikiwa na taswira mbaya leo. Sasa nani kayaleta haya wakati hayakuwepo kwa KIASI HIKI KABLA YA UTAWALA JPM?
Natarajia majibu yenye ufafanuzi mzuri .
Kishada
Mkuu kama kuna soda karibu ebu kunywa nakuja kulipaHii mada ni mtambuka kama yalivyo malaria. Kwa mfano JPM alizuia Maandamano na mikutano eti hataki siasa, lakini Pole Pole kutwa anapokea wapinzani na kutuhabarisha mambo ya siasa. Halafu kuna chaguzi kila siku za kujaza nafasi za wagombea walioamuwa kujitoa kwenye vyama vyao na kumuuunga mkono JPM kwa nini asitoe agizo kuwa watu wamuunge mkono huko huko na wasitoke kwenye vyama vyao ili hio siasa aliyosema haitaki isifanyike ? Tunachezeana akili.
Aliowaamini ndio mwanzo wa yote.Hili suali linanijia kila wakati na kuwaza sana.
Mienendo ya viongozi wetu na mwelekeo wao huathiri mwenendo wa nchi.
Natafakari wakati ule Rais JPM alivyoiningia katika uongozi namna alivyowatia watu wengi tamaa na imani kuwa sasa nchi inakwenda tunakotaka. Lakini ghafla tumeshuhudia mambo ambayo si ya kawaida hapa Tanzania.
Ni wazi sasa upepo umegeuka na Tanzania ina taswira mbaya hapa NDANI NA NJE.
Kwanza kuanzia pale neno uzalendo lilipotafsiriwa kuwa ni kuunga mkono kila lifanywalo na watawala hata kama wanakosea na kuwadharau na kuwashughulikia wapingaji kuwa sio wazalendo hili lilikuwa pigo la kwanza. Kuanzia hapo nchi ikawa na visasi na migawanyiko.
Walau leo nataka tumjuwe anayechafuwa serikali ya Magufuli kwani tatizo ni nini ?
Jee wanaochafuwa ni wale wanaoibua hoja na wakosoaji wakubwa wa JPM kwenye awamu hii ?
Au je ni wale wasiotaka watu kuhoji na kukosoa hata pale taratibu zinapovunjwa ? au ni nani ?
Nilikuwa najiuliza kwa haya mambo yaliyopelekea kutokea matatizo kwenye nchi yetu hasa kwenye maeneo haya.
(a) kuzuiwa maandamano na haki za kidemokrasia
(b) Bunge kukosa meno ya kuisimamia serikali
(c) Utekaji na mauaji
(d) Viongozi wa upinzani kusumbuliwa bila sababu
(e)Vyombo vya habari kuminywa kufanya kazi zao
(f) Viongozi wa serikali kuingilia mambo nyaliyo nje ya uwezo wao kisheria.
(g) Lugha za utata kutoka kwa viongozi n.k
Kupitia maeneo haya na mengine, nchi yetu imejikuta ikiwa na taswira mbaya leo. Sasa nani kayaleta haya wakati hayakuwepo kwa KIASI HIKI KABLA YA UTAWALA JPM?
Natarajia majibu yenye ufafanuzi mzuri .
Kishada
Kwanini usimtilie viji heineken hata vitano ?Mkuu kama kuna soda karibu ebu kunywa nakuja kulipa