Anayebeza haya maendeleo basi hana nia njema na nchi yetu.

Annael Haya hayaonekani kwa sababu hayana mpiga debe, serikali inaona ni wajibu wake kufanya haya na hivyo haioni haja ya kwa nini ijisifu au ilazimishe watu kuyasifu!
 
Last edited by a moderator:
Acha matusi kama huna cha kukomenti soma comment za wenzako na usepe. Sio lazima kukoment poa?

nimeona matapishi tu ya mwanadada apo juu sioni cha kukomenti. Nyumba nzuri utaiona tu kwa nje sio lazma uingie ndani kama unavotulazimisha hivyo vimipango vya ccm. Ungesema jk kakamilisha hiki cha maana tungekwelewa
 
nimeona matapishi tu ya mwanadada apo juu sioni cha kukomenti. Nyumba nzuri utaiona tu kwa nje sio lazma uingie ndani kama unavotulazimisha hivyo vimipango vya ccm. Ungesema jk kakamilisha hiki cha maana tungekwelewa
Kama umeona matapishi poa lakini hali halisi ndio hiyo wewe endelea kuona matapishi tu wenzio wanaona maendeleo utabaki hivyo hivyo.
 
Serekali tumeichagua hili ilete maendeleo na ndio wajibu wake, haya mnayojivunia nia sehemu ndogo ya matarajio yetu sisi wapiga kura, ukizingatia kuwa nchi yetu ina rasilimali nyingi, hivyo kama rasilimali zinatumika ipasavyo tunatarajia kuona mambo makubwa kuliko haya manayojisifia nayo.
 

Okey mimi nadhani huu ndio mwanzo ninatumaini yatakuwa zaidi ya hapa.
 

Mjerumani alitengeza kwa faida ya watananganyika mara alipoondoka.Tazara hata katk policy za china ni kwajili ya shaba ,nani shaba ya kiwango cha juu ili kuweza kata kiu ya shaba katk soko la umeme na electronics la china.Nilikuwa zambia nikaona jinsi wazambia wanavyolalama shaba kuibwa katk malozi na kiasi kidogo kinachoweza chukuliwa. Tazara inawafaidisha wazambia ingawa tunalipa na sisi gharama kubwa.Wanajichukulia mabehewa na kutatumia katika nchi nyingine za kusini na kati.Mkataba wa tazara ni kichonyanyaji kam ailivyo kwa kawaiad aya mikataba iingiwayo na vilaza CCM.Hata waziri mwakyembe siku za karibuni aliripotiwa kushangaa mengi.

Mikataba kurekebishwa hakurudishi tulichopoteza na hata ilipo bado ni ya kipuuzi sana kwani mareebisho hayakuwa ya lazima ila ni maombi,mwekezeai aamue kukubali na aamue kipi kibadilishwe na kwa kiasi gani.

Nadhani kwa vikra kama zako zinazoweza mezwa na ushabiki hakuna kitu hapo.
 
Sijaona maendeleo hapa zaidi ya kutuongezea deni, kama kodi zinazokusanya hazitoshi posho na mishahara yao (kwa taarifa za waziri wa fedha, alipotoa bajeti) hivyo wanakopa nje ili kupata marupurupu zaidi, pia wanakopa ili watoe miradi feki kama ulioitaja na wakati huo huo wanawaachia wageni waondoke na mali zetu na wao kufunguliwa akaunt nje, kama haya ni maendeleo basi waafrika ni watumwa hata sasa, fikiri tutalipaje? Kuna haja ya kujenga hospital mpya wakati tulizonazo hazina vifaa muhimu? Naamini ukiwa kiongozi tz wajinga wanakuona ni malaika
 

Mkumbushe hili pia:

Barabara za DART zitagharimu TZs 230bn. Pesa iliyofichwa uswisi ni zaidi ya Tzs 315bn; chenji ni zaidi ya Tzs 115bn.

Ujenzi wa daraja la kigamboni unatarajiwa kugharimu +200bn, misamaha ya kodi kwa mwaka wa fedha uliopita ilikuwa TZs 1.2Trillion.

Ujenzi wa bomba la gesi unafadhiliwa na serikali ya china kwa mkopo wa 200bn+, tungeweza kujenga kwa kutumia pesa zetu zinazopotea kwenye misamaha ya kodi.

CCM inachojaribu kufanya sasa ni danganya toto. Watanzania wameshapita zama hizo za kudangwanywa.
 
Reactions: FJM
Hizi hapa project zinaendelea hapa nchini

[h=1]Active Projects[/h]
[1] 2
Display Results in set of: 10
50
100

Project Name
Country
IBRD/IDA
Status
Approval Date
Tanzania Phase II: EITI ImplementationTanzania 0 Active30-MAY-2012
Tanzania Productive Social Safety NetTanzania 220 Active29-MAR-2012
Basic Health Services ProjectTanzania 100 Active20-DEC-2011
TANZANIA TRANSPORT SECTOR SUPPORT PROJECT - ADDITIONAL FINANCINGTanzania 59 Active30-JUN-2011
Additional Financing for the Tanzania Energy Development and Access Expansion ProjectTanzania 27.88 Active07-JUN-2011
Development of a National Statistical System for TanzaniaTanzania 30 Active24-MAR-2011


Zanzibar Urban Services ProjectTanzania 38 Active24-FEB-2011
Rural Food Fortification Project in TanzaniaTanzania 0 Active22-FEB-2011
Tanzania ICT and Services Incubator (AFR 5)Tanzania 0 Active03-SEP-2010
Tanzania - Backbone Transmission Investment ProjectTanzania 150 Active26-AUG-2010
SECOND ADDITIONAL FINANCING FOR TASAF IITanzania 35 Active04-JUN-2010
Second Additional Financing for Agriculture Sector Development ProjectTanzania 35 Active28-MAY-2010
Tanzania Strategic Cities ProjectTanzania 163 Active27-MAY-2010
Secondary Educ. Development Program IITanzania 150 Active27-MAY-2010
TRANSPORT SECTOR SUPPORT PROJECTTanzania 270 Active27-MAY-2010
Additional Financing - Energy Development and Access Expansion ProjectTanzania 25 Active06-APR-2010
Tanzania - Housing Finance ProjectTanzania 40 Active09-MAR-2010
Tanzania - Accelerated Food Security ProjectTanzania 160 Active09-JUN-2009
Additional Financing for Agricultural Sector Development ProjectTanzania 30 Active09-JUN-2009
Sustainable Management of Mineral ResourcesTanzania 50 Active09-JUN-2009

[h=1][/h]

Tanzania - Accelerated Food Security ProjectTanzania 160 Active09-JUN-2009
Second Central Transport Corridor ProjectTanzania 190 Active27-MAY-2008
Science & Technology Higher EducationTanzania 100 Active27-MAY-2008
TZ-GEF Energy Dvpt and Access ExpansionTanzania 0 Active13-DEC-2007
TZ-Energy Development & Access ExpansionTanzania 105 Active13-DEC-2007
Performance Results and Accountability ProjectTanzania 40 Active27-SEP-2007
Zanzibar Basic Education Improvement ProjectTanzania 42 Active24-APR-2007
Water Sector Support ProjectTanzania 200 Active13-FEB-2007
Tanzania Agricultural Sector Development ProjectTanzania 90 Active15-JUN-2006
Financial Sector Support ProjectTanzania 15 Active15-JUN-2006
Private Sector/MSME CompetitivenessTanzania 95 Active15-DEC-2005
Marine and Coastal Environment ManagementTanzania 51 Active21-JUL-2005
Marine and Coastal Environmental Management ProjectTanzania 0 Active21-JUL-2005
Tanzania Second Social Action FundTanzania 150 Active30-NOV-2004
IND TRADE ADJTanzania 12.5 Active13-MAR-1989
 

I'm pretty sure you are either joking(in which case i don't like it when its serious matters) or you are so blinded (in this case i pity you).
Good day.
 

Tatizo la annaele haoni vitu vya msingi kabisa.Kuna vitu vimefanyika ccm wakiw amdarakani hawakufanya wao ila wanataka chukua credit.Rwanda walikuwa wakijenga barabara na na kupata mafuta wakati vita vikiendelea, somalia,afghanistani na wengine wanajenga barabara huku vita vikiwa mbele, na mara nyingine barabara zikibomolea kwa mabomu na makandarasi wakitekwa.Hiili la Tazana na utafiti wa mafuta wenye uwekezaji wao hufauta hizo mambo bila hata kuitwa.Sasa Mkopo na hel ya NSSf inahusika vipi na CCM kujenga daraja la kigamboni?NSSF ni wawekezaji wanatafuta kipato ,kupkopesha na kuwekeza ndio njia sahihi kwao.sasa hivi wanatoa mikopo kwa wanachama kupitia saccos.sasa useme kuwa hela ya wavuja jasho niya CCM.Nyingine za world bank,ADB etc wote hao kama si wafadhili ni wawekezaji wanaotukopesha na kutudai riba.kazi yao ni kukopesha kama bank, na kutafuta wakopaji ni jukumu lao.

Gamba ni gamba tuu.Utaweka list kibao lakini katik ya hayo yote utakuta CCM hakuna kitu zaidi ya kuipunguza ubora kwa kuiba.
 

Umeziona projects hizo lakini?
 
Umeziona projects hizo lakini?

Jibu maswali haya (kama unaweza):
  1. Nani ana-finance hizo projects?
  2. Project concepts za miradi hiyo ziliandikwa lini?
  3. Contribution ya serikali kwenye hizo projects ni ipi na inahusu nini?
  4. Financiers wametoa grants au credits?
  5. Financing ikisimama projects zitaendelea?
Ukileta hayo majibu tuambie kama kwako hayo ndiyo maendeleo.
 
Ni hatari kubwa tunapoanza kupima maendeleo ya watu wasiopungua Milioni 40 kwa maana kama hiii.

Tungepima maendeleo:-

-Kwa idadi ya watoto wetu kimataifa katika elimu, sayansi na technologia asilimia ngapi au tupo nafasi ya ngapi

-Kwa mtanzania wa kawaida anachangia kiasi gani cha mapato kwa taifa kwa mwaka (itaonesha tumepiga hatua mmoja mmoja namna gani)

-Kwa mtanzania wa kawaida uwezo wa milo mitatu yakueleweka kwa siku ( au anatumia dolla ngapi kwa siku kwa wastani)

-Deni la taifa kwa kila kichwa kwa wastani limepungua kiasi gani

-kwa idadi ya madakitari yaani daktari mmoja kwa wastani anahudumia watanzania wangapi?

-Uwezo wa kumudu walau uhitaji wa vifaa tiba sahihi na madawa sahihi walau kila mkowa

-Uwezo wa kumudu bajeti yetu walau kwa 78% kama taifa sio mkowa kama ilivyo daraja la kigamboni japokuwa na wa tabora watavuka kusalimu ndugu zao, zaidi wanarahisisha kuvuka kwenda kwenye mahekalu yao wanayoyajenga huko)

-Uwezo wa kuwa na umeme inchi nzima na kwa gharama nafuu sio huu wa kubahatisha na gharama kubwa

-Waalimu kwa wastani kumudu kutoa elimu bora walau kwa kupewa mafao bora sio Tsh 300,000 kwa siku 30, watoto 2, mme, afya, kodi, chakula, maji nk

-Mwalimu mmoja kwa wastani anafundisha watoto wangapi kwa taifa sio kimkowa.....

Sidhani kama kusifia vijimradi vya uchochoroni ukilinganisha na ukubwa wa inchi, idadi ya watu na maeneo miradi hiyo inawekezwa kunaleta maana hasa ukilinganisha na RASLIMALI tulizonazo watanzania.

Je katika mikowa iliyoachwa nyuma kimaendeleo wajivunie nini? Tabora, Singida, Kigoma, Rukwa, Ruvuma, Mtwara, Lindi nk

Tunaendeleza mbwembwe na mikakati ilele ya kuwahadaa watanzania kwa pipi..........why?
 

Nadhani hizo project zina link hapo juu hebu bofya tu project moja moja na utaziona vizuri maana zinajieleza. Poa?
 
Shuka la ufisadi ndio limetufunika!

Wanao beza ni wale wenye macho lakini hawaoni kutokana na shuka la uchadema limeziba nyuso zao. Haya maendeleo ni sumu kwao, kila jema linalo fanyika linarudisha nyuma ndoto zao.
 
Umeziona projects hizo lakini?

wewe kweli kichwa fikra mgando..sasa ningequote vipi kama sijaziona?Na zote niliona proposal zake,na nyingi si initiative za watanzania lets alone CCM.CCM ni kikwazo tuu cha ufanisi kwa wizi hapa.miradi ya world bank unasema ni ya CCM?

Ngoja nikupotezee nina activity outdoosr andika yoote uonayo nitakujibu nikirudi indoors.
 
FJM,
Naona kiwanda chako kipya kimekamilika lini uzinduzi?

tena kinatoa product bila kujua hata aina ya product yenyewe.
Eti daraja la kigamboni silo lililokusudiwa,
eti mradi wa mabasi umechakachuliwa na wanleta tata.
Hakika jk hakukosea,
kuna watu wanatamani waone serekali imekwama wapate la kusema, utafikiri sio watanzania.
Ndomana kila kukicha wanazua jipya.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…