Please usinikumbushe jamaa alivyonichefua!
Kudaadeki.
lara 1 ndo anawachanganya wanaumebut in a meaning that wanaume wanachanganyikiwa na wako curious kutaka kumjua, kumfahamu, kumuona lara 1 kutokana na mada zake, anavojiamini, story zake etc.
Na si kuwa lara 1 anawachanganya wanaume wa MMU kwa maana mbaya hapana.
Weeewe...
Una uhakika gani kuwa hao uliowataja wote ni wanawake?
We ni Ke or me!????
Sio tu ke mimi ni mwanamke, a woman among women, a mother among mothers, a wife among wives....
Thats me sakapal aka chotara
Abeee....
Mi mwanaume nashangaaa kuniandika hapooo kha!!!!
Hebu muoneshe maungo yako labda ataamini...[/QUOTE
Kwani hayajulikaniiii""?
hivi mdogo wangu Excel amepotelea wapi?
hivi lini mtaanza kuweka mashindano ya wanaume humu
hivi MMU maana ake nini mbona mpo nje ya hii forum????
hivi unaukumbuka ule wimbo waa uuui anavutiaaa uuuh ninamzimiaaaa mwenye umbo namba 8 ananichanganya toka moyoni nasema nampenda sana ama piga hilo gita moja ni zaidi ya santana ili na mimi nimuite maaamaa×2
kwa kifupi ni hivi anaechanganya ni umbo namba nane sio sisi
inaelekea una dimples