Anaye wachanganya wanaume mmu ni yupi?

Anaye wachanganya wanaume mmu ni yupi?

thinky

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
2,121
Reaction score
267
Last edited by a moderator:
....nilikuwa Sijui kama 'avatars' zinaweza mtia mtu uchizi.
....tatizo hapa kujua ke na me ni shida..
 
Kumbe tuliopo JF tunaingia humu kwa mitizamo tofauti eeh


||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
Hakuna anayenichanganya,kwani sijawahi kumuona mwanamke hata mmoja humu.
 
Mkali wa sura kwa kuangalia mwqndiko ndio nini? Yaanikule miss world majaji wawe wanaangalia miandiko!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom