Una uhakika gani kuwa hao uliowataja wote ni wanawake?
Aiseee
HahahahaNani mzuriwa sura kwa mwandiko.
maongezi ya ke na me yapo vry different
namfahamu but simjui ila ni she kwa jina
hivi MMU nani kawa mfanyakazi bora leo?
Mimi apa
Please usinikumbushe jamaa alivyonichefua!
Kudaadeki.