Anawaza nini huyu mzungu?

Anawaza nini huyu mzungu?

Kwani sio underground humo? Hio ni Central Line.
Umejuaje ni central line aisee una macho umeona maandishi hayo

Naona hapo haijaingia chini ipo juu kama unapotokea sehemu ndio unaingia tena kwenye tunnels
Kwa hiyo anamsubiria pakiwa giza tu hahaha
 
Umejuaje ni central line aisee una macho umeona maandishi hayo

Naona hapo haijaingia chini ipo juu kama unapotokea sehemu ndio unaingia tena kwenye tunnels
Kwa hiyo anamsubiria pakiwa giza tu hahaha
Angalia ramani central line mwisho inagawanyika to Ealing Braodway na West Ruislip
 
BYI8gH-CUAAOiNh.jpg
Huyo mmasai hana SIME kiunoni?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mawazo yako sometimes! [emoji28]
Labda walinidondosha wakati kichwa bado kiko soft, nikiwa kijitoto. [emoji38] Ngoja ntaulizia alafu ntarejea na info. [emoji23]
 
Back
Top Bottom