pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Acha masarau endito. Eroo kwetu matunda ni ya watoto!Anatamani amrushie ndizi labda ndiyo anachowaza!
Mzungu hata hajui kuhusu kipeperushi, ana mambo yake tu huyu.Masai kageuza kipeperushi juu chini alafu yupo busy anasoma sasa mzungu anashangaa "huyu jamaa vipi?"
Anawaza kwa nini ngozi nyeusi hasa watanzania wasahaulifu sana.
Juzi juzi wamepewa taarifa ya kuibiwa trillion 1.5 lakini baada ya muda mfupi tu wameshasahau.
Naona unaleta ugomvi sasa!Anamshangaa b baba yeyoo anavyosoma kwa sauti tena herufi mojamoja kama vidudu.
Itakuwa umetizama filamu nyingi sana za mavampire.Anajua wakiingia underground tu amekwisha
Hapo anamlia time tu
Hapo kuna mtu analiwaItakuwa umetizama filamu nyingi sana za mavampire.
Eroo damu ya musungu ni kama ya ng'ombe mweupe. Ladha yake inakuwaga kama ya bia flat.Hapo kuna mtu analiwa
HahahahahahahaEroo damu ya musungu ni kama ya ng'ombe mweupe. Ladha yake inakuwaga kama ya bia flat.
KwikwiAnahisi kama amekaa karibu na cannibal!
Anashangaa2 inakuaje binadamu anavaa ngao kama gari??