BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
hapa sipo hapa......nawatakia uuzaji na ununuzi mwema....
shost umeona? kazuri eeeh chukua
Ndio, nahitaji. Kwani alikua na moja peke yake?
Nani kamuona Kongosho? Mwambieni namtafuta sana...
It is a dog. we huoni kama ni mbwa kapigwa picha akilala?kwani huyo ni mdudu gani?
Nimeongea na EMT anasema hajauza bado, ila atauza kwa mnada sasaMhhhh, let me think.
Aliniuzia kwa mkataba wa mimi kutomuuza hadi miaka 25 ipite.
Utasubiri niendelee kumtumia tumia?
Au nikuuzie utanisaidia kulipa faini ya kuvunja mkataba?
It is a dog. we huoni kama ni mbwa kapigwa picha akilala?
I am crazy about it! imagine I had to send a PM to EMT to discuss the priceMwali..you really like it. Don't you?
It is a dog. we huoni kama ni mbwa kapigwa picha akilala?
I am crazy about it! imagine I had to send a PM to EMT to discuss the price
Kasema atakuja kuuza kwa mnada maana interested people ni wengi...
We hupendi mbwa?
I once lived in a house with a Rottweiler, a female. So protective!Mimi napenda Pitbulls na Mastiffs.
Nimeongea na EMT anasema hajauza bado, ila atauza kwa mnada sasa
ameona ni dili, watu wengi wanaitaka. Kasema tumsubiri aje mwenyewe
Hapo bold sijaelewa. Unamtumiaje?
It is a dog. we huoni kama ni mbwa kapigwa picha akilala?
I once lived in a house with a Rottweiler, a female. So protective!
I love them. I don't think I would like a pitbull lakini
Mastiffs are dogs for 'men'. mi hata sioni mvuto wake
I don't like dogs for protection, I like to play with them
Hahahaha, lions are powerful, no doubt! but lovable? 'Huggable'? Not to me...I love Mastiffs. They are so powerful, lovable, and huggable.
They remind me of lions.
Asante sana Konnie, you're the best! :hug:Basi ntakuachia, maana naona umempenda sana kuliko mie.
Ntakusaidia ku-bid