Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,006
- 55,185
Gonorrhoea
Gono naliogopa hatari na bahati mbaya hua nalisikia tuSio ishu sana Mkuu kikubwa wahi tu kwa doctor mambo zote ztakaa frsh,narudia wahi mapema
Ukiliwahi halina tatzo,ila ukisubiri liwe sugu ndo tatzoGono naliogopa hatari na bahati mbaya hua nalisikia tu
Kuna tofauti gani kati ya gono na kaswende kwa upande wa dalili na maumivuUkiliwahi halina tatzo,ila ukisubiri liwe sugu ndo tatzo
Hyo ni urethral discharge syndrome. Wahi hospital inatibika.na nkinywa maji vinakata nkiacha ni kama kawaida
.inasababishwa na nini? au umekisia tuHyo ni urethral discharge syndrome. Wahi hospital inatibika.
Gono ilokuna mtu apa nmemsindikiza hospitalini juzi, anatokwa na vitu kama usaha uumeni ila havina ata harufu ya usaha vinatoka taratibu yaani kidogo kidogo, alvoenda hospital dr. alimwambia hana ugonjwa wa ngono ila ana uti kali inawezekana hii,
Kuwa muwazi kumbe ni wewena nkinywa maji vinakata nkiacha ni kama kawaida
Kashasema bila kujijua hahaSi useme ni wewe tu kwani nani anakujua