Anatishia kuniua kisa ananipenda

Anatishia kuniua kisa ananipenda

jitahidi kadri uwezavyo kutokuwa na mawasiliano kama vp badili namba, hata ukiwa nae bado ni tatizo maana ni mgonjwa huyo utakuwa umejipeleka machinjioni
 
kamsemee kwa baba ake ili amrudishe tena jela....

ila belie unastory tamu buana...
 
huyo ni stalker class 1 ukimchekea atakuua kweli. mripoti polisi wampeleke mirembe au wampe ban ya kukaa mbali nawe kwa distance fulani. umewahii cheki the bodyguard ya whitney houston na costner jinsi ving'ang'anizi wanavyokosesha raha?
 
ushaambiwa jamaa hamnazo,tukushaur nin au umempenda hvyohvyo
 
huyo atakupeleka mbinguni bila kufa na inavyoonekana muda si mrefu utasaliwa maana hapati raha ya dunia kwa kovu ulilompa kwa iyo lazima akili zipelee kidogo kua makini sana.maana inaonekana hapo nyuma alikua mzima uchizi umemletea wewe.
 
Mbona hii sauti kama ya kiume vile?
sauti gani tena, I'm a gal bana.... en those ar the true story which happened 2 me dia..... so cjui hyo saut we umeickia wapi while nmewrite down
 
kamsemee kwa baba ake ili amrudishe tena jela....

ila belie unastory tamu buana...
hayo ni maisha yangu aisee, nna mpango wa kumtafuta mwandishi aniandikie kitabu mana hata nikiwaambia wakina ray wa act muv itakua hadi part 10, ni ful visa yan.... ila nimeshamriport every wher, so chochote kitakachotokea atajulikana ni yey
 
jitahidi kadri uwezavyo kutokuwa na mawasiliano kama vp badili namba, hata ukiwa nae bado ni tatizo maana ni mgonjwa huyo utakuwa umejipeleka machinjioni
anatumia no mpya kila siku, nilitaka niende nikamblock kweny mtandao anaotumia nmeshndwa coz no anazotumia sio zake, na siwezi kubadilisha no coz nina mambo na watu wa muhim sana katika namba yang na kazi nnayofanya hainiruhusu kubadilisha no kila wakat, so nilichofanya nmemreport tu kwamba chochote kitakacho nitokea ni juu yake
 
Tunga nyingine ambayo Tyta hawezi ishtukia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom