Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Hahahahahha kwanza mie wana nihanya vibaya sana lol!!
Kwann wanakuhanya?
kweli kwny miti hamna wajenzi
Hahahahahha kwanza mie wana nihanya vibaya sana lol!!
Kwann wanakuhanya?
kweli kwny miti hamna wajenzi
Kwasababu mie mtu wakujichanganya sanaaaaaa na kila watu
Hao unaokutana nao ni waoga mm ngekuwa nmeshaomba mzigo siku nyingii
Hahahahahhaha kwanza wee mwenyewe utaona aibu, hahahah utaanzaje kwanza
Huwaga sina aibu kama namtaka mtu ww mwnyw ungenipa tu....ningekupiga sumu kali hutoki
Haaa mie mwenyewe kauzu ukija kutoa tongozo kwanza nakukodolea mimacho badala mie nione aibu wewe ndo utaona haya
Mm napenda nkutongoze uniangalie hapo naanza kukubusu
anaitwa belie ladies and gentlemen...
[h=3]Nahisi bado nampenda[/h] Started by belie, Yesterday 13:4
Pole sana huyo hafai na anaweza kukuua kweli.
Mbona hii sauti kama ya kiume vile?
kumbe na we umesikia sauti ya kiume, itafahamika tu labda ni wa kike ila ana sauti nzitosema wewe mkuu...