Anatangaza nia kwa kupitia CCM

Anatangaza nia kwa kupitia CCM

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Mwenzenu atatangaza hivi karibuni, wengine je? Msichelewe maana MAJUTO ni Mjukuu.....


10453474_497970003683798_5065537749095930501_n.jpg
 
Anatangaza nia ya kufanya nini? huyu si mwigizaji wa komedi? labda ameamua tu kuburudisha. ila kwa hali ilivyo kwa sasa, usijekuta yuko siriasi!
 
Hahaaa.. Sikonge wewe utatangaza lini nia?.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa, Yegomasika, mie nipo SIKONGE huku, nani atakuja kunisiliza? Labda Mama Muuza na wauza Wanzuki 🙂

Hayo mambo yanafanyika miji Mikubwa yenye Lami, SIKONGE lami inabidi uifuate barabara kadhaa za Tabora mjini.

Hahaaa.. Sikonge wewe utatangaza lini nia?.
 
Mkuu, HAITI kuna jamaa akiitwa Michel MArtelly au jina lake la Kimuziki aliitwa Sweet Micky, sasa hivi ni RAIS.



Anatangaza nia ya kufanya nini? huyu si mwigizaji wa komedi? labda ameamua tu kuburudisha. ila kwa hali ilivyo kwa sasa, usijekuta yuko siriasi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, HAITI kuna jamaa akiitwa Michel MArtelly au jina lake la Kimuziki aliitwa Sweet Micky, sasa hivi ni RAIS.



Kwa wasanii wetu wa kibongo hata huu ubunge tunawapendelea tu
 
Last edited by a moderator:
Kama huyu anataka ubunge wa igunga itakuwa majuto?

ImageUploadedByJamiiForums1433306431.881341.jpg
 
Shilole akipata ubunge,kwanza nahamisha ndugu na jamaa wote igunga,pili naenda ubalozi wa somalia wanisaidie nihamie tu kwao.Majuto akipata ubunge nafuta namba zote za watu wa jimbo lake hilo eneo sitopanda hata majani pori wala kupita,naona sasa wanasiasa washatufanya misukule bora nisionekane wabaki wenyewe.
 
Jamaa anapenda Mtindi wa Wastani. Ni nani huyo na huyo Mdada ni nani?


Huyo mdada ni mbunge mtarajiwa wa igunga selebu Shilole aka mama ntilie mstaafu..hilo jamaa ni promota lake liko nchini amstedamu( according to Mh mbunge shilole)
 
Back
Top Bottom