Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Yere uwiiiiii,zinatosha na kubaki
Basi endelea kula kwa kuona tu mkuu, maana hata ukimpata huyo unayemtamani hutaweza kummiliki. Jitahidi kwanza kuzichanga ukizipata utawakimbia mwenyewe.Kipato changu kwa mwezi ni shillingi 80,000 nimepanga kodi nalipa 20,000 kwa mwezi bado nauli ya kwenda kibaruani na hapo sijamwachia wife hela ya matumizi ya nyumbani. Nikitoa matumizi yote nabakiwa na -20,000. hebu niambie nitapata wapi hela ya kununua viwalo vya thamani kama hivyo
What a Perfect match!!ndio nilivovivaa hivyo,plus hiyo skirt hiyo ya kuishia juu ya magoti
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Mficha ugongwa mauti humuumbua, acha ni seme ya moyoni.
Nikimuona tu moyo wangu hupwitapwita kama unangojea matokeo ya mtihani ambao unajua hukufanya vizuri,
Akipita tu namkodolea mimacho hatari,
Akitabasamu tu na anza kuimajine tukiwa faraga mm na yy itakuwaje,
Tukigusana tu ...................uume husimama hatari,
Unajua huyu ni nani?
Binti yeyote alievaa kiatu kizuri, sio kizuri tu pia kiwe kizuri na kirefu halafu awe ametilia na nguo flani hivi ya kisasa, namaanisha skirt flani hivi iliyoishia juu kidogo ya magoti plus blazia iliyomkaa vizuri na saa flani hivi yenye mvuto.
Ila sijui kama hapa MMU kuna mtu kama huyu!
natangaza nia nina vigezo vyote vimini ntavaa kila day npo hapa sinza ni shuga mamy ntakupakata na gar ntakipatia cjui unahitaji la aina gani......Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Mficha ugongwa mauti humuumbua, acha ni seme ya moyoni.
Nikimuona tu moyo wangu hupwitapwita kama unangojea matokeo ya mtihani ambao unajua hukufanya vizuri,
Akipita tu namkodolea mimacho hatari,
Akitabasamu tu na anza kuimajine tukiwa faraga mm na yy itakuwaje,
Tukigusana tu ...................uume husimama hatari,
Unajua huyu ni nani?
Binti yeyote alievaa kiatu kizuri, sio kizuri tu pia kiwe kizuri na kirefu halafu awe ametilia na nguo flani hivi ya kisasa, namaanisha skirt flani hivi iliyoishia juu kidogo ya magoti plus blazia iliyomkaa vizuri na saa flani hivi yenye mvuto.
Ila sijui kamahapa MMU kuna mtu kama huyu!
Basi macho yako huenda yakawa na wakati mgumu sana ukiwa maeneo ya Posta Mpya(dar) mida ya jioni jioni flani hivi...
What a Perfect match!!
Hivi dar kuna mademu wa ukweli!? hawa waliokomaa kama makonda, tembea uone wewe karibu Arusha... cc Preta, Lily Flower, marejesho, @blaki woman, ...
nipo hapa sugar mumy npo sinza na vigezo ninavyo vimini kila cku ntavaa pia ntakupakata kaaaa...unahitaji gar ya aina gan nikupatie...Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Mficha ugongwa mauti humuumbua, acha ni seme ya moyoni.
Nikimuona tu moyo wangu hupwitapwita kama unangojea matokeo ya mtihani ambao unajua hukufanya vizuri,
Akipita tu namkodolea mimacho hatari,
Akitabasamu tu na anza kuimajine tukiwa faraga mm na yy itakuwaje,
Tukigusana tu ...................uume husimama hatari,
Unajua huyu ni nani?
Binti yeyote alievaa kiatu kizuri, sio kizuri tu pia kiwe kizuri na kirefu halafu awe ametilia na nguo flani hivi ya kisasa, namaanisha skirt flani hivi iliyoishia juu kidogo ya magoti plus blazia iliyomkaa vizuri na saa flani hivi yenye mvuto.
Ila sijui kama hapa MMU kuna mtu kama huyu!
wap wewe dar kwan unafanya kaz gan...mbona unataka kutudhalilisha wadada wa darisalama wewe na hizo compare and contrast zako
wap wewe dar kwan unafanya kaz gan...
sasa msilie sana alaf wewe unaonekana haukai dar....jua hlo linakomaza jamani.....wanawake kama wachimba mkaa..niko darisalama kazi yangu ni moderator wa jamii forum.....
sasa maswala ya kutuambia wadada wa darisalama tumekomaa kama makonda ni udhalilishaji
Hivi dar kuna mademu wa ukweli!? hawa waliokomaa kama makonda, tembea uone wewe karibu Arusha... cc Preta, Lily Flower, marejesho, @blaki woman, ...
duuuuuuuuuh!!!!!!!!!! Ni haki yako kula kwa macho!!!!!!!
Hahaha...kaka mkubwa sisi wanaume tunaofanya shughuli zetu hap mjini kati basi kuna nyakati huwa twapata tabu sana.
Mbaya zaidi ni ule wakati wa kurejea nyumbani unakuta umebambiana na kimwana aliyenona haswaaaa...yaani namaanisha ile mizigo yetu ile( Kaizer anaifahamu)...yaani kaka huwa ni rabsha tupu.
Hata madada wa Chugga nawakubali sana haswa hao uliowataja maana zaidi ya hayo majina hata machoni nishawatia...
Yere uwiiiiii,zinatosha na kubaki
natangaza nia nina vigezo vyote vimini ntavaa kila day npo hapa sinza ni shuga mamy ntakupakata na gar ntakipatia cjui unahitaji la aina gani......
Huo ndo udhaifu wako mkuu! Kwani mkeo huwa havai hivyo? Mnunulie!
hapa ndo wanaume huw awanakosea sana, anaweza kuwa anamkataza mkewe asijirembe wa kuvaa km alivyojieleza lkn akitoka kitaa anawatamani mabinti waliotokelezea km anavyosema hii ni hatari
na waume wengi wako hivyo
Hivi dar kuna mademu wa ukweli!? hawa waliokomaa kama makonda, tembea uone wewe karibu Arusha... cc Preta, Lily Flower, marejesho, @blaki woman, ...