Mwadunda
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,057
- 1,776
Kipato changu kwa mwezi ni shillingi 80,000 nimepanga kodi nalipa 20,000 kwa mwezi bado nauli ya kwenda kibaruani na hapo sijamwachia wife hela ya matumizi ya nyumbani. Nikitoa matumizi yote nabakiwa na -20,000. hebu niambie nitapata wapi hela ya kununua viwalo vya thamani kama hivyo
Tafuta kwanza $$$ hayo yatakuja,