Wait wait wait...... Dude! unajua kwamba Local thing suck!!!!
Kabla sijaja Huko DM wacha nkupe Vitu hapa "LIVE ARENA", Najua kwamba Kila Mtu humu atakwambia kwamba Kufungua Blog yako ni Very Easy
😱😱 Ila in Reality hicho kitu ni Too complicated kuliko maelezo, Asilimia 90 ya wanao sema kwamba Kufungua Blog ni rahisi ni wale ambao wanatumia Either Blogspot ama Tumblur na Kibaya zaidi wameshindwa Kununua Domain wanazidi kutumia free Domain i.e xxxxx.blogspot.com au xxxxxx.tumblur.com ambapo ndani ya Hizo platform wanatumia Kila kitu free( Free Domain, free template,) kila kitu wanakuta teyari kiko saved.
Kufungua Blog Kunahitaji Kuwa na Vitu vifuatavyo:
1) Unique Tittle/Name
2)Idea/ni nini unachotaka Kusimamia
3) Own Domain na Hosting
Napoongelea Domain na Hosting namaanisha unapaswa kuwa na web adress yako Binafsi yaani
www.yoursitename.com au
www.jinalablogyako.co.tz( Hapa utaamua utumie dot com, au .co.tz, .ac.tz, .org etc). Hosting ni mahali ambapo blog/web yako itakuwa saved.
4)Publishing platform
Well well well..... Hapa ndio penyewe. Kwa hapa ni sehemu ambayo utakua unatumia kwa ajili ya Uandishi wa post/contents zako. Platform nazozungumzia hapa Ni Wordpress, Blogger, Druppal, Joomla, Tumblur nk.
Wait wait wait.... keep calm Tunaingia katika matengenezo ya Blog yetu.
Hapa kwa wale wanaofahamu Blog/web designing huwaga kuna Vitu husimamia katika Ujenzi wa Blig/web ni kama ilivyo kwa Fundi wa nyumba yaani Msingi, Lenta hadi Paa na katika Blog Designing tunaangalia Vitu Vifuatavyo:
1.User interface - Muonekano- Contact Forms nk
2.User Interaction- Mawasiliano/
3.User Experience- Busness na Mambo yanayoendana na hayo plus Research..
Mpaka hapo tupo sawa si ndio!!!... haya twendeleee...
Kuipata Domain ni Very Easy maana Yako makampuni mengi ambayo hutoa hizi Huduma hapa nyumbani na Huko mambele na zaidi ya yote makampuni hayo hayo hutoa hosting services hivyo usihangaike ni Two in One!!
MAONI YANGU.
Kwa Ulimwengu wa leo katika Blogging, WordPress ndio kila Kitu, na hizi ni sababu ni kwa nini Wordpress ni Kila kitu:
1. Rahisi kutumia
2. SEO(Search Engine Optimization Friendly). Google Loves WordPress
3.Awesome themes & Fonts . Ukitaka Mionekano/themes za Ukweli basi wordPress ndio Baba lao.
4. Less Coding Knowledge is required or some-time no Coding skills required.
5.Business Oriented. Kama utaamua kufanya Biashara katika Blog yako Basi Wordpress wanakupa nafasi kubwa kufanya hivyo kupitia Themes zao. Hapa nazungumzia Adsence au Affiliating Programs au Direct/custom Ads.
6. Wana Plugs ambazo ni highly and very Proffesional programmed ambazo zitakusaidia wewe kufanya kila unachotaka. Mfano Yoast SEO ambayo huyu ndio mchawi wa Traffic.
MY TAKE🙄🙄
Kama unataka kufanikiwa katika ulimwengu wa Blogging basi epuka kutumia Free things. Ingia Mfukoni mwako then simamisha kitu cha maana(Blog kwa hapa Bongo zinalipa endapo tuuu kama utajua ni nini chakufanya)
Kwani itakuuma nini ama itakugharimu nini kama utaamua kutumia laki tatu hadi laki nne Kutengeneza Profesional Blog ambayo baadae itakuingizia Pesa mara tatu zadi ya ulizotumia kuifungua Hiyo Blog?? (Pesa hutafutwa na Pesa).
HITIMISHO.
Nimeongea kijuu juu Sana ila nimelenga kile nilichotaka kukupa kabla hujaamua kufanya unachotaka kukifanya. Na ifahamike kwamba kila nilichoongea hapo juu ni Uzoefu wangu na Ufahamu juu ya Blogging( Nipo katika Ulimwengu huu wa Blogging kwa Muda wa miaka Minne Sasa, najua Mbivu na Mbichi) ila tambua kwamba hili sii jambo Rahisi.
Kama unaona nmeongea Kitu cha maana Basi kifanyie Kazi, na Kama unaona Nmeongea Pumba basi chukua upelekee Bata wako Nyumbani.
Mimi nmetengeneza
mtokambali.com
Xoxo mtokambali.