anatakiwa engineer wa ujenzi Dar!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

anatakiwa engineer wa ujenzi Dar!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by CHAI CHUNGU, Aug 26, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu anahitajika engineer kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba(STOREYED BUILDING)ukonga Dar.
  Awe na uzoefu wa kutosha,CV ni muhimu.
  Aweze kuchora ramani nzuri kwa ajiri ya luxuriously house.
  Awe na vifaa.
  Sifa ya nyumba inayotakiwa kujengwa.
  1.Bed rooms(5+1master+1guest=7rooms)
  2.Bathroom (6)
  3.Dressing (2)
  4.Loung (2)
  5.Kitchen (2)
  6.Dining (1)
  7.Study (1)
  8.Store (1)
  9.Gym
  10.Garden
  11.Garage/Parking
  12.Guard room
  13.Water-mains supply
  14.Electricity
  15.Air condition
  16.Fence
  Kwa aliyetayari anipe gharama za ujenzi wa nyumba hii kuanzia materials mpaka fundi.
  Kisha tutaonana ili nijue gharama ya material ni bei gani na gharama ya engineer ni bei gani.
  Ntaanza project hii mwisho wa mwezi november mwaka huu inshaallah na nnataka iwe imekamilika within six months maana nshachoka kuishi nyumba za kupanga.
  Kwa aliyetayari anicheki kwa email hii(herpologialcenter@yahoo.com)
  Nawatakia kila la kheri na M/mungu awape moyo wa kuhesabiwa hapo nyumbani.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wala hapo huitaji engineer,sema unaitaji contractor utake mpatia tenda ya kazi hyo,swala la cv ya engineer halikuhusu,tangaza tenda shindanisha zabun makampuni ya ujenzi yachuane
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Budget yako ni bei gani?si unajua tena hapo yale mawe ya pugu hayatakiwi?
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu that's what I need,thx a lot!
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  60-70m.
   
 6. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  sijui kama ni sahihi kwangu kueleza machache hapa,nadhani kazi za ujenzi huenda kwa hatua ambazo zaweza kukuongoza client kwenda kufikia dream yako. a:- kuyatambua mahitaji yako ktk nyumba yako bila shaka umeweka. b:- kutengeneza mchoro unaoenda na site yako,ingekuwa vizuri ukaweka vipimo ya kiwanja roughly,ukaelezea mazingira yana slop ama tambarale n.k c:- baada ya kutengeneza mchoro kazi hii hufanywa na architect na structural engineer inabidi upate kibali toka ktk manispaa husika kwa ukonga ni ilala na vibali hutolewa kwa kufuata taratibu kadhaa za kiofisi yaani michoro kukaguliwa na watendaji wa idara husika,then ipitishwe kwny kikao cha madiwani ambavyo hufanyika kila miez mitatu. d:- kikipatikana kibali ndipo atafutwe mkandarasi i.e contractor umpe mchoro wako nae akadirie gharama za kazi yako. japo nawe waweza mtafuta quantity surveyor akufanyie estimate so kama pia unataka kumpa majukum mjenzi yote inawezekana inabidi awe mtu flexible kuelewa demand zako na awe ana uwezo wa kuhakikisha frm drawing preparatns to building erectn anaifanya kazi yako kwa uhakika. may i e-mail you?
   
 7. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Pia mkuu requirements zako with fund set for construction naona ni kidogo may be kama kianzio maana a luxurious house haiwezi kugharim that amount in respect to requirements zako.
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
   
 9. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa bajeti hyo utakwama requirenment zako n kubwa mno walau kama ungekuwa na 250m
   
 10. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu.
  We unafikili how much inaweza tosha?
   
 11. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Yes you can email me.
  Kiwanja ni flat na ni 30x40
   
 12. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtafute zumbekuu yeye ni archtect
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dudu JEUS kibali ni muhimu iwe kwa nyumba yoyote ile,lazima ramani ikakaguliwe ipitishwe kwa matumizi ya eneo husika,vinginevyo utakumbana na X ,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Jumba unalotaka kujenga ni la kifahari. Vyumba saba, vyoo 6, majiko mawili. Nyumba hiyo lazima iwe zaidi ya sq. m. 400.
  Bajeti yako haiendani na uhalisia, especially kama unataka kutumia engineer kwa sababu engineer tu kwa project nzima huwezi kumlipa chini ya mil 15.

  Kwa jumba kama hilo tenga angalau mil. 150. Hata hivyo kama bajeti yako iko fixed, basi downsize your plan. Kuwa na plana ya sq. m zisizozidi 150. Na itafaa zaidi kama haitakuwa ghorofa...
   
 15. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu.
  Si lazima iwe ghorofa although I prefer ghorofa.
  Kuhusu amount(150m)itapatikana inshaallah.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Kama 150m inapatikana basi hakuna tatizo.
  First step tafuta architect ambaye atatembelea site na kukutengenezea ramani inayoendana na ndoto zako. Yeye pia atakutafutia mtu atakayekutenegenezea structural plans.
  Kama kiwanja chako kina hati, unatumia hizo plans kuomba kibali cha ujenzi. Kama huna hati mambo ya kibali yatakuchelewesha, unaweza kujenga kimazabe at your own risk. So unatafuta fundi atakayejenga, siyo lazima awe engineer. Engineer unaingia naye deal la kuja kukagua tu jinsi fundi anavyojenga na kutoa maelekezo.
  Kuepusha usumbufu na fundi mpe tenda hatua kwa hatua ie. kujenga msingi, kunyanyua, kuweka slab, kusimamisha juu etc. ili katika hatua fulani akikuzingua unamtosa. Ukiweka mkataba wa jengo zima baadae fundi akikuzingua terms za kuvunja mkataba zitacomplicate shughuli yako.
  Usimwajiri engineer full time kwa sababu in the end engineeer hawezi kushinda site kwako, atakuwa na vijana wake yeye anaenda kufanya deal zake nyingine...
   
 17. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu spika ujue hapo kuna kazi mbalimba zinahusisha ma-engineer tofauti,hivyo wewe tafuta consultant wako ambaye ni artecher,yeye atadizine akisaidiana na elewana naye aandae kabisa BOQ(bill of quantity)hatua itakayo fata ni kutafuta compuny itakayo jenga ambapo utashindanisha zabuni,mwisho utampata contaractor atakaye jenga.kama gharama ya kujenga itakua kubwa kuliko bardget yako,unaweza kuandaliwa contract ktk phases,yaan unakua na phase 1,ambayo itaishia sehemu flan,kisha unajipanga ukipata hela tena unaendelea na phase 2.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Utaratibu huu wa kibali upo kwenye katiba mpya au ya zamani?
  Becouse never hear this at all!
  So ata wewe kale kakibanda kako ka geza ulole ulipewa kibali?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu.
  Ngoja kwanza niangalie kuhusu kibali maana sina HATI.
  But pia nilishajenga nyumba moja Dar maeneo ya Kitunda mbona sikua na kibali na hakuna liyekuja kuniuliza kuhusu kibali?inamaana kama ikitokea bomoa bomoa silipwi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Mkuu dudu jeusi suala kibali lipo ktk katiba tuliyonayo hiyo inapo ktk building rules cap 101 hivyo kukwepa ni kuvunja sheria na taratibu.
   
Loading...