Anataka tufanye mapenzi kabla ya ndoa

Anataka tufanye mapenzi kabla ya ndoa

dah! hapa sijui nisemeje kwa kweli.

lakini LAKI kwangu mimi labda nikwambie hivi uzinzi ni dhambi that is the fact. na pia kuzini sio sababu ya wewe kuolewa na mwanume yeyote yule. Kadhalika ubikira sio sababu ya wewe kuolewa na mwanaume yyte yule ama pia sio kisingizio kwamba utakapoolewa utaendelea kuwa mtu safi kweye ndoa yako.

kwangu mimi jambo ambalo wewe ungeangalia ni hivi, huyu kijana kwanza ni mchumba kwako ama ni rafiki tu?? na je kwenye mahusiano yenu unaona kweli unamuhitaji huyo kijana na yeye anakuhitaji?? kama kweli mnahitajiana na unampenda sion sababu ya nyie kusubiri harusi za mwaka kesho ndipo muanze kufaidi penzi lenu. ningekusahuri nendeni kwa wazazi tambulishaneni mfunge ndoa kabla ya mwaka kesho ili mpeane haki yenu. kama mnang'ang'ania harusi za gharama ndipo mpeane tundi utachemka manake kijana atakapochoka kusubiri atatafuta liwazo na mwisho wa siku hatakuwa wako tena.
Safi sana gfsonwin !
Anzisha kitengo cha ushauri.
Wateja waanze kuhudhuria
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe,mwanaume lazima uonje yani u taste..hiki chakula je ni kizuri...size yangu?hakikinaishi hiki?etc sio mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia. Halafu ndoa iwe ya karaha na bada ya mwezi tu mnaanza mfarakano kwa upande wa mdada lazima na yeye ajue vp jamaa mgegedo wake size yang?ukute ni kipipi mana kimepitiliza hd kwenye kibamia pale ikawa ukikohoa tu kitu kinatoka out,pia je kidume kinasimamisha?nayo take into consideration!!Je anakuridhisha kiasi huwezi mkumbuka juma wako wa zaman!!!etc etc

Sent from G-spot

Uwiiiiiiiiiiiii jamani jina langu mie!!
Should I change my Id???
watu8 ebu pita hapa patna uone nilivyostaajabu! lol
 
Last edited by a moderator:
mpe taam bana , kwani ukimpa sasa(present) au mwakani(future) act ya kumpa si ni ile ile , peaneni bana mta enjoy balaaa
 
Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
unajichanganya sana bibie, unaogopa kufanya mapenzi au ni msimamo wako mpaka ndoa
 
we unalako jambo huna lolote kinachokushinda ulidanganya hujawahi naniliwa kumbe tayari na ndo mana unamsukumia hadi mfunge ndoa ili hata akijua umemdanganya atakuwa tayar kakuoa.sahizi unapata pressure eti unaogopa?kama unaogopa unataka kuolewa ili iweje?
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo, mpe ale usije mletea vidonda vya tumbo bure
 
....ukimuoa afu akakuta hauna je?

Inaonekana kama utani lakini iliwahi kutokea! Msichana mmoja mrembo alilkuwa hana! Ilikuwa hivi, msichana huyo alizaliwa mlemavu wa sehemu za siri. Alikuwa na katundu kadogo tu ka kutolea mkojo lakini hakuwa ma kasoro nyingine yoyote na alikuwa mrembo sana maskini! Wanaume walikuwa wakimpaparikia wanamhonga hela, zawadi, kumtoa out ,n.k. Yeye alikiuwa mchangamfu na hakatai wanaume! Mwanaune akifika naye geto au gesti anampetipeti kama kawaida, kisses,caressing,nk. Akifika kwenye hitimisho, yaani kumvua nguo, anapotaka kuingiza anakuta ukuta mgumu. Akicheki vizuri anakuta kitu hakipo!!! Akimuuliza anasema ndivyo alivyozaliwa, mwanaume hapo anaishiwa pozi anaamua kupotezea. Kwa hiyo ulichosema Evelyn Salt ingawa ulikuwa unatania kinawezekana japo ni nadra sana.
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhani sualabla mwakani eti ndio mfunge ndoa na kula tunda hapo ni uwongo tu mnapotezeana muda kama ni kumpa aone utamu wake na kama ni kuridhia akuridhie ulivyo siyo kuuziana mbuzi kwa gunia jamani, hujawahi ona warembo wengine hawaolewi kisa kasoro kibao.Mpe na mkafunge ndoa na si mwakani
 
Inaonekana kama utani lakini iliwahi kutokea! Msichana mmoja mrembo alilkuwa hana! Ilikuwa hivi, msichana huyo alizaliwa mlemavu wa sehemu za siri. Alikuwa na katundu kadogo tu ka kutolea mkojo lakini hakuwa ma kasoro nyingine yoyote na alikuwa mrembo sana maskini! Wanaume walikuwa wakimpaparikia wanamhonga hela, zawadi, kumtoa out ,n.k. Yeye alikiuwa mchangamfu na hakatai wanaume! Mwanaune akifika naye geto au gesti anampetipeti kama kawaida, kisses,caressing,nk. Akifika kwenye hitimisho, yaani kumvua nguo, anapotaka kuingiza anakuta ukuta mgumu. Akicheki vizuri anakuta kitu hakipo!!! Akimuuliza anasema ndivyo alivyozaliwa, mwanaume hapo anaishiwa pozi anaamua kupotezea. Kwa hiyo ulichosema Evelyn Salt ingawa ulikuwa unatania kinawezekana japo ni nadra sana.

.....mi nawashangaaga wanaonunua mbuzi kwenye gunia, mara unamfikisha nyumbani sio mbuzi.
unaezakuta hana, au analo oversize,au kaduchu sana, shida za nini sasa!!!
 
Endelea na msimamo wako huo huo, usifanye mapenzi kabla ya ndoa .......Mungu hapendi!
 
nafikiri kuna tatizo hapa, nyie yaonyesha bado kujitambua, ikiwa mnajitambua basi fanyeni hima kujitambulisha kwa familia kisha taratibu zifuate.. vinginevyo ni dhambi tupu!!
 
hiyo ndo habari ya mujini dada,we ni mlokole?mimi sijawahi kuona ndoa kabla ya kula tunda labda enzi hizoooooo za mababu zetu
 
Fanya bwana, experience muhimu kabla ya ndoa...! Ooho!
 
Habari za mchana wandugu, kama mnakumbuka post yangu kuhusu kuanza mahusiano kwa mara ya kwanza, tunapendana sana ila tatizo anataka tufanye mapenz kabla ya ndoa, kila nkimshauri tusubirie mwakani baada ya ndoa yetu Mungu akipenda hanielewi, mi binafsi sipo tayari kwani naogopa maana sijawahi kufanya mapenz. Naomba ushauri wenu wana jf, maamuzi ninayochukua yapo sahihi?
Kama wewe ni mwanak basi uko sahihi ila mshauri tu kama kweli anakupenda nawe wampenda aje kwa wazazi wako akuchumbie, baada ya process ya uchumba kukamilika hapo mnaweza kuamua chochote, lakini kama wewe ni mwanaume basi hakuna kusuburi ombi la mwanakei......
 
Back
Top Bottom