dah! hapa sijui nisemeje kwa kweli.
lakini
LAKI kwangu mimi labda nikwambie hivi uzinzi ni dhambi that is the fact. na pia kuzini sio sababu ya wewe kuolewa na mwanume yeyote yule. Kadhalika ubikira sio sababu ya wewe kuolewa na mwanaume yyte yule ama pia sio kisingizio kwamba utakapoolewa utaendelea kuwa mtu safi kweye ndoa yako.
kwangu mimi jambo ambalo wewe ungeangalia ni hivi, huyu kijana kwanza ni mchumba kwako ama ni rafiki tu?? na je kwenye mahusiano yenu unaona kweli unamuhitaji huyo kijana na yeye anakuhitaji?? kama kweli mnahitajiana na unampenda sion sababu ya nyie kusubiri harusi za mwaka kesho ndipo muanze kufaidi penzi lenu. ningekusahuri nendeni kwa wazazi tambulishaneni mfunge ndoa kabla ya mwaka kesho ili mpeane haki yenu. kama mnang'ang'ania harusi za gharama ndipo mpeane tundi utachemka manake kijana atakapochoka kusubiri atatafuta liwazo na mwisho wa siku hatakuwa wako tena.