Anataka tuachane, kisa simridhishi

Duuh adi kichefuchefu" sera ya elimu kwanza inabidi itiliwe mkazo sana.
 


Nenda kasome kwanza Lugha ya kiswahili huwezi hata kupresent mada...

Hii mitoto kwanini inapewa smartphone? wapeni vitabu hawa
 
ndo ujue alikua anapotezea mda kwako alishakuwanae kitambo...kama vipi we Scan kichwa na ufute virus...Ufanye mishe zingine..
 
Dogo mbona mbishi?? Mchezo wako uko chini ya kiwango. Kubali yaishe. Tafta kwingine
 
Pole sanna mdogo wangu, nitumie namba yake nimshauri mrudiane,sio vizuri alivyokufanyia wakati wewe bado unampenda kwa dhati. Nitumie namba yake nimpe ushauri,nimewasaidia wengi sana wenye matatizo kama yako.

hahahahahahahah,we chalii ni fasi!!! Haya msaidie tu mdogo wetu
 
Kuandika kujui inawezekana hata kut....b.a hujui.
 
chakufnya subiri shule ifunguliwe halaf upewe pocket money ukawaringishie wenzako:thumbup:
 
Kukataliwa ni sehemu ya maisha. Kama amesema hakutaki achana naye. Najua ni ngumu lakini ukijilamisha kwamba humpendi tena itafika muda utakuwa humpendi. Tafuta msichana mwingine wa kukuliwaza na atakusaidia kumsahau huyo aliyekuacha.

Naweza kubashiri we bado mdogo kulingana na mwandiko wako wa ki dotcom. Inaonyesha ndo unaingia kwenye mapenzi. Siyi kila unayemtaka atakukubali na siyo kila atakayekupenda nawe utampenda. Jitahidi mwisho utaweza, ni utoto tu. ukikua utaona hapakuwa na lolote la kukuwangisha kichwa.
 
kazi tunayo,yaani mpaka shule zije zifunguliwe tutakuwa tumeshuhudia mengi humu.
sijui ni Korea ya kusini au kaskazini.
 
Hawa wafungue shule watutolee hizi shida jamani. Wako likizo now.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…