Anataka tuachane, kisa simridhishi

Dah!!aisee BRN matokeo yake yanaonekana sasa,huyu nae kamaliza kidato cha sita HKL
 
Achana nae sio wake Tena,wenzio wanapiga mzigo kichizi chizi kama vile unavyoona kwenye Zile muv zetu,wewe ni mdebwedo hadi kuandika tu unaandika kimmdebwedo sio huyo tu ata anayefuuata Ataakuacha tu.soma Dogo huku unafanya mazoezi ya viungo na pumzi.
 
sasa mkuu umemaanisha nini??

Matumaini/ mipango katika maswala ya kihisia/mapenzi, urafiki huwa inagharimu sana kwa kuwa ni mambo yasiyotabirika. Kwa maana nyingine, kuwekeza hisia zako kwa mtu na kupanga maswala yako kwa kutegemea ana hisia kama zako, huwa inagharimu sana pale mambo yanapotokea kuwa ndivyo sivyo huku wewe ukiwa umejiwekeza moja kwa moja.
Nilikuwa narefer kwa post yako ya hit and run bila plans kuepuka disappointments.
 
Ulovyosema Korea nakawa najiuliza Korea ya kaskazini au kusini
Hiki kiswahili bhana

Hiki kiswahili sijui wanakiua au ndio wanakikuza yaani ni tabu kweli kusoma ujumbe mfupi wa hawa watoto siku hizi.
 
Kwa hiyo mwalimu wako ndio kakwambia utunge hadithi za kusikitisha ndio umetunga hii ?
 
Selection ya form5 itoke warudi shule hawa watoto ... Mada za kipumbavu zipungue...
 
hiyo shule unayoenda ni "vidudu" halafu unamdanganya ukimaliza umuoe binti wa watu,,,,bora alivyokuacha mapema
 
mpaka shule zifunguliwe tutazoma mengi!
 
Wallah wewe bhana joto gani ?!!? Njo huku uone nusu ya jahanam..!! Alaa kuli hali rehema zake zitateremka kwenu usijaali.....!!
inaoneka "menu" yenu safari hii itakuwa top of the list....!
watu wanasema Ramadhan ndio time yaku save lakini mie naona ndio tuna tumia sanaaa....
 
Mweeeee.... nimerudia kuisoma mara kadhaa, nimetoka kapa. Kwa aliyeelewa hii thread naomba anisaidie kunielewesha pia!!
 
kwa uandishi huu ilikuwa ni lazima akuache manake naamini hata msg ulizokuwa unamwandikia alikuwa hakuelewi unaandika nini
 
Muhongo akiwa rais nnakuahidi utaweza kuandika vizuri,tumpe nchi mwanasayansi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…