Anataka tuachane, kisa simridhishi

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Habari gani wana JF,

Nlkua na binti nilimpendanae akanipenda mapenzi yalipokolea akaamua kua ananiachia uwanja nipige kabombo kama kawaida kwani mimi ndo nilpuliza kipenga cha kwanza katika uwanja mpya naye sema kweli alikubali mchezo kiasi kwamba akanipa na penaliti za kutosha.

Mgegedo wa kwanza kwake aliufurahia kiasi ambacho alitaka nimuoe, siku hio kazi ziliendelea kama kawaida na yeye akanipa ratiba ya kupiga mechi mara 3 kwa wiki, lakini akinionya niwe makini nisije nikampa mimba kwani angeweza chinjwa na baba yake.

Namimi nikalegeza kamba kwani kwa hamu naliyokua nayo sikufanya nae sana mapenzi, mara muda wa kwenda masomoni ulipo karibia akanitumia ujumbe kuwa mimi si mridhishi na hisia zetu haziendani nakutaka tuachane, iliniuma sana sikulala usiku kucha kwani nilipromiss nitamuoa baada ya masomo.

Nikajuta kua bora ningefanya nae mapenzi kwa ustadi, mpaka sasa tunasalimiana tu kwa simu na anasema ameshapata mwingine na picha kanitumia. Nifanyenini na bado nampenda?

Ushauri wenu wakuu
 
Barua yako nimechana haieleweki andika upya kama unataka ushauri.
 
kachukue fomu na wewe ugombee urahisi kupitia cccccccm
 

Korea ya Kaskazini au Kusini?

Hivi shule zimefungwa?
 
Huo uandishi wako hapa sio mahali pake, hiyo story yako peleka facebook kwa teenager wenzako, huko watauelewa huo mtindo wako wa kuandika, hapa hapana.

Tiba
 
Duuuuh! Tz kazi ipo!
Tuliza kichwa mdogo wangu! Kwa uandishi huu wewe bado sanaaaaaaaa ! !
 
Hahahahaha kwa mwandiko huu nunua tu panadol nyingi za jumla kupunguzia maumivu yako
 
Wafungwe juve unune ww real madrid ????
 
Hata kuandika kiswahili hujui, mchafuzi wa lugha wewe hufai ndio maana uliachwa.Yawezekana ni mchafuzi wa mabo yote
 
Anti lydia aje hapa ampe maushauri mkaka
 
Huku kwetu kila njia ukipita naona vibinti na tuvijana twingiii..
Nahisi shule zimefungwa na huyu ni mmoja wao..
Kijana nakushauri rudi huko facebook, akili ikikaa sawa then urudi tena😡
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…