Dear I asked myself if you are not or don't want to be responsible for that child why are you with her mother ?leave her mother then you won't have none of the involvement... Leave her and surely she will get somebody else who will be willing to deal with all that.. As long as you are involve with that relationship her child must be involve too ..
Mimi sijakushambulia but hey I spoke the truth so I can be free. Unajidanganya ndugu kusema kuwa unampenda huyo Dada lakini hauko okay mentality to take her daughter as your own .. Kwa huyo Baba kuwa na uwezo Wa kutoa fedha or mahitaji ya mtoto. But hatoi chochote .Wewe ndio inakuumiza sana . Dear ulipoanza relationship ulijua huyo Dada kama ana mtoto . Na hayo yanayotokea unayaona . Sasa hapo kaa chini ujiulize nafsi na moyo wako .. without forcing your heart .. Make a good decision as quick as you can before the little kid get too much close to you , ukamuumiza huyo mtoto .. Thanks...
Jamani situation yangu si katai mtoto ila nataja baba mtu awajibije yupo hi na anauwezo wa kufanya hivyo! So why should i take majukumu ya mtu mwenye uwezo na sababu za kubeba majukumu yake! Kuna wakati niliwahi kumwambia kuwa malazi na chakula na upendo wa wanangu nitsmpatia basi akamlipie karo, wanashindwana baba mtoto sasa ubaya wangu uko wapi?
I dont think you totally comprehend the situation and the meaning of love..as I have understood the guy, he loves the woman...but you should take time to consider that the issue doest not begin and end with his love..there are other parties involved..so the way you go about it attacking the guy is purely inconsiderate
The guy is not attempting to avoid helping the woman..but there is a clear daylight between helping the needy and taking responsibility of the issue emanating from misunderstanding between co-parents...and anyone will tell you that the most difficult and cumbersome cases are those pertaining to love affairs and parenthood
So try to understand him and advise accordingly
Jamani situation yangu si katai mtoto ila nataja baba mtu awajibije yupo hi na anauwezo wa kufanya hivyo! So why should i take majukumu ya mtu mwenye uwezo na sababu za kubeba majukumu yake! Kuna wakati niliwahi kumwambia kuwa malazi na chakula na upendo wa wanangu nitsmpatia basi akamlipie karo, wanashindwana baba mtoto sasa ubaya wangu uko wapi?
Jamani naomba ushauri wa kujenga tu!
STORI NI NDEFU KIDOGO TAFADHALI SOMA UPATE KUNISHAURI;
Kuna mdada mmoja alitokea kunipenda mpaka akanitamkia na kwa vile mimi sikuwa ktk mahusiano wakati huo nilimkubalia ila baada ya muda akaniambia kuwa ana mtoto wa kike ambaye alimzaa baada ya jamaa mmoja kumpa mimba kisha akaitaa nilimhoji sana mazingira ya mimba kukataliwa akasisitiza kuwa aliyempa mimba alimkataa yeye na mimba yake akasema nilikuwa muungwana sikuta kutoa mimba nikaamua kuzaa na kulea mtoto.
Sasa muda ulivyozidi kwenda huku mahaba yakikokelea kama treni la makaa ya mawe tulijikuta kwenye mahaba mazito sana. Ila mimi sikutaka kuwa mvivu wa kufikiri nikazidi fuatilia juu ya mtu aliyezaa naye baada ya muda nikaja kujua kuwa yule mzazi mwenzake alikuwa mchumba wake ambaye alifikia hatua ya kutoa mahari na kabla ya ndoa ndipo akawa amezaa naye mtoto huyo.
Safari ya mahaba haikusimama kwangu njiani humo humo nikaambiwa aliwahi kuishi na huyo jamaa na baada ya muda jamaa alibadirisha mwelekeo akaamua kuoa mtu mwingine. Nili hoji kama hadi ulilipiwa mahari wewe si mke wa mtu akakataa katakata kuwa yeye walikubaliana kuachana yule bwana akaja nyumbani kwao akutaka urudishiwe mahari yake alimua kusamehe akaandika barua kuvunja uchumba.
Kesi ya mtoto, jamaa anaonekana akumkataa mtoto ila walishindwa kuelewana jinsi ya kumtunza mtoto baba mtu anataka mtoto amchukue na mama mtu kakataa kwa madai mwanae atateswa kwa madai yule mke aliyeolewa alisha sema hamtaki huyo mtoto pale. Baba mtu akasema hatatoa ata senti kumtunza mtoto akiwa na mama yake alitia madai kuwa sasa hivi mtoto ana miaka mi 4 akasome boarding awe analipa huko mama hataki.
Sasa picha yangu na huyu mdada ikaanza hivi nikamwambia mbona uko kinyume na maelezo yako ya mwanzo kumbe mtoto baba yake anamtaka wewe tu ndiyo hutaki! Akaanza kulia na kunimbia kuwa yeye ni yatima hana baba wala mama amekuzwa na mjomba wake baada ya wazazi wake wote wawili kufariki.
Anadai eti yeye amekuwa kwa shida sana na hivyo akimwachia mtoto wake atateseka tena kama yeye. Anachodai kwenye mahusiano yetu nimuoe yeye na mtoto wake yaani hataki mtoto wake aende kwa baba yake nikimuuliza vipi mtoto atahudumiwa maana baba yake kagoma hawezi kumhudumia anasema huyu naye tutamhudumia kama wanetu wengine tutakaojaliwa na mola.
Mimi nikiangalia kuhudumia mtoto ambaye ana baba yake tena anakazi nzuri kiukweli napata ukakasi mara ya mwisho wamepelekana Ustawi wa jamii jamaa kakomalia msimo wake.
Naombeni ushauri wenu, stori ni ndefu, ila mwenzenu ndiyo tayari niko kwenye mahaba mazito sijielewi tena.
MAHABA NISHIKE NIFINYANGE NIPIGE GWALA NINYONGE MPAKA NIKUFE KABISA...!
Chukua simu yake, delete namba zote kwenye simu! chukua sim card vunja, baada ya hapo mnunulie simcard nyingine halafu mkaishi maeneo ambayo jamaa wazamani hajui napiga marufuku mawasiliano baina yao, kubali kumlea mtoto haina tabu nimalaika tu huyo.
Excuse me are you talking to me ? Is this thread is about me or is about the person who wrote it . My dear too bad it wasn't about me who brought this thread, if it was me I believe I would handle it very well . I wouldn't beg a guy to help me to take care of my child never trust me .. That's why I work hard and never depend no human being for the bread except God.. ..
So if you have stress please take it to somewhere else not to me... look at you ..You got some personal issues with me ..Guess what I have none . You seem don't even know what are you talking about , none sense .. I forgave you anyway ..Have a good life . Be blessed. Thanks..
I dont think you totally comprehend the situation and the meaning of love..as I have understood the guy, he loves the woman...but you should take time to consider that the issue doest not begin and end with his love..there are other parties involved..so the way you go about it attacking the guy is purely inconsiderate
The guy is not attempting to avoid helping the woman..but there is a clear daylight between helping the needy and taking responsibility of the issue emanating from misunderstanding between co-parents...and anyone will tell you that the most difficult and cumbersome cases are those pertaining to love affairs and parenthood
So try to understand him and advise accordingly
Aliniambia jamaa alikuwa anachepuka hivyo wakawa wanagombana ndiyo jamaa akaamua kuugeuza mchepuko kuwa njia kuu!
Kaka oa tu umstiri huyo binti, Ila mshauri vyema juu ya kumpeleka huyo mtoto wake Boarding. Kutasaidia kuondoa malumbano kati yake na Mzazi mwenzie.
Mimi hapo sioni tatizo kabisa, wapo watu wanapewa kabisa na watoto moja kwa moja na majina yanakuwa ya baba wa kambo. Unajua katika maisha kuna vitu vinakua vigumu sana kumeza, lakini kama ushaamua kuoa, mi sioni shida, mchukulie mtoto kama mwana familia yako.
Isije kuwa baba wa mtoto ndio mimi we jamaa, teheeee
Humpendi huyo mwanamke...unapenda ngono kwake...Ungekuwa unampenda hili ni jambo rahisi kuzidi yote....Shida iko wapi kumchukua mama na mtoto?