Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

Kwan unamahusiano nae kwa muda gani sasa
 

Jiokoe na kizazi hiki chenye uharibifu. Nakushauri uoe mke wako uzae naye watoto ambao mtawalea nyote pamoja. Maandiko yanasema Ndoa Iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi maana washerati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu (Waeb 13:4).
 
Kama alishaolewa na mtu mwingine na akachikaakiwa NA watoto 4 aliahindwaje kumganda mwenye 4 kids aje akubane wewe mwenye 1 tu.
MPE mzigo aseme nao maana anautaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…