Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

Sasa nashukur
 
Ehh unamaanisha anaenda kuzaa mtt wa tano sasa,sio,atakua nduguye Zari
 
Mimba mpe utakayemua kumuoa tu na si vinginevyo, ina maana hao wanne hawamtoshi?
 
wana maneno matamu lengo washike hatamu,
Utakuja jilaumu dunia uone sumu,
Watakuja kuweka ngumu wataka kwao udumu,
Mie ninawafahamu lengo lao wahujumu,
Utakuja tema nyongo, kwa visa vyao visoisha...
Asante kwa ushauli mkuu
 
>>>Nipe namba zako nikusaidie kumpa..... Mtoto akiomba wembe mpe..


Miaka 27 huna mke, huna mtoto.. Unapata offa ya kumpatia mtu mimba hutaki .... Jichunguze.
 
Reactions: e2n
>>>Nipe namba zako nikusaidie kumpa..... Mtoto akiomba wembe mpe..


Miaka 27 huna mke, huna mtoto.. Unapata offa ya kumpatia mtu mimba hutaki .... Jichunguze.
Haahaaaaa haya mku
 
Tafta mwanamke mbichi asie Na watoto ndo itakuwa afadhali umzalishe huyo kuliko huyo mwenye watoto wanne!!
 
Reactions: e2n
Hapo anakuja na hitaji la mimba tuu ! Ila akishajifungua ndo utajua mchezo ulivyo...

Kisheria unakuwa binded kulea mtoto kama baba yake..! So lazima mtashikiriana kulea ...ukijifanya mjanja tuu akaenda ustawi wa jamii huko watakubana hadi ukome..
 
Reactions: e2n
Hapo anakuja na hitaji la mimba tuu ! Ila akishanifungua ndo utajua mchezo ulivyo...

Kisheria unakuwa binded kulea mtoto kama baba yake..! So lazima mtashikiriana kulea ...ukijifanya mjanja tuu akaenda ustawi wa jamii huko waatakubana hadi ukome..
Duuuuuuh asante kuniepusha na tego
 
Hii story kama ya Diamond
 
Reactions: e2n
sababu za kutaka mimba yako ni nini jipange mkuu unaweza kupata madhila ya kukuchefua sana hukuo mbeleni ukajuta kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…