Anataka live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anataka live

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Dec 21, 2010.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Anataka Tuangalie Mkanda! habari za siku!Nina swali ambalo naomba msaada kwani najikuta nipo njia panda na swali lenyewe ni kama ifuatavyo.Mume wangu anataka tununue mkanda wa pornography kwa ajili ya kutusaidia kuwa na “mood” kwa ajili ya tendo la ndoa. Hata hivyo sipo comfortable na hilo pendekezo ingawa anadai kwamba kukataa kwangu ni kwa sababu nimeotoka familia ya dini sana. Sina cha kufanya kwani nampenda sana mume wangu na sipendi ajisikie vibaya na napenda kumpa heshima yake ili kudumisha ndoa yangu. Kitendo cha kuangalia picha za mwanamke mwingine na mwanaume mwingine wakifanya mapenzi wkangu naamini kitanifanya kuzimia kabisa na kukosa hamu kabisa kwani dhamira yangu inakataa. Je, nifanyeje?Dada Pole sana kwa kuuliza swali lako na kuwa wazi kuomba msaada kwa ajili ya swali lako ni kweli swali ulilouliza ni swali muhimu sana hasa kwa nyakati tulizonazo ambapo mambo yamekuwa tofauti kiasi kwamba kuna mambo mengi sana yapo sokoni kwania ajili ya wanandoa na mengine hujenga ndoa na mengine hubomoa ndoa na kuwa vipande vipande na hatimaye kuziua.Kutokana na namna mwanaume na mwanamke walivyoumbwa tofauti hata linapokuja suala la pornography (picha za ngono) wanaume hujisikia tofauti na wanawake kwani wanaume wapo wired tofauti kwa kile wanachoona. Wanaume wengi huwa addicted na picha za porniography wakati wanawake wengi huwa addicted na movies za romance.Bottom line ni kwamba mikanda ya pornography si picha tu bali wale ni watu walihisi ambao wana hisia, matumaini, matatizo, mahitaji na pia wameumbwa na Mungu tatizo ni kwamba wamejiingiza kwenye hiyo business kwa sababu ya uhitaji wa pesa na ni kitu kibaya.Kwa mwanaume halisi, mwanaume wa ukweli, mwanaume anayejali, mwanaume rijali anayempenda mke wake lazima atamlinda na njia kamili ya kumlinda ni kuachana na kuleta mwanamke au mwanamke wa tatu badala ya mke wake. Yule mwanamke kwenye mkanda yupo pale kwa ajili ya biashara, kila anachofanya ni kuigiza ni kitu cha kweli na zaidi hizo picha zinapitia katika editing ya hali ya juu kutokana na soko na kwamba mwanamke wa kawaida ambaye amelelewa vizuri hawezi kufanya vile Yule mwanamke anafanya kwani ni aibu na si kweli.Kitu ambacho kitatokea ni kwamba wewe mwanamke huwezi kushinda na maigizo ya Yule mwanamke na pia hizo picha zimesafishwa kiasi ambacho wewe huwezi kuwa vile ma matokeo yake mume wako atakushangaa kwa nini pamoja na kuangalia umeshindwa kufanya kama alivyofanya Yule mwanamke kwenye mkanda na matokeo yake yeye ni kuona wewe huwezi kumpa kile anahitaji kwa kuwa tayari kichwa chake kimejaa picha za Yule mwanamke kwenye mkanda.Dadangu kama unampenda mume wako ni pamoja na kukataa kutumia hizo picha chafu kama njia ya kuwapa mood kwa ajili ya tendo la ndoa badala yake kama hakuna mood basi pigeni magoti na kumuomba Mungu aliyewaumba awape mood natural na kulirudisha lile penzi la kweli (original) lililowavuta hadi mkaona na si kutumia picha cha ngono za watu wingine.Dada onesha kwamba na wewe una backbone kwa ajili ya kuilinda ndoa yako, mwambie mume wako kwa upendo na wazi kabisa kwamba hutaweza kuangalia vitu kama hivyo na badala yake wewe mwenyewe uwe huru chumbani kiasi cha yeye kukuona kama ulivyo na kukufurahia badala ya hizo picha.Pornography katika uhalisia ni Kitendo cha aibu na kitu kibaya kinachoshusha hadhi ya biandamu aliyeumbwa na Mungu kuwa tofauti na wanyama wengine na hufanya na binadamu waliopotoka kimalezi. Athari zake ni mbaya sana na huwezi kupelekea binadamu kuwa na tabia zaidi ya wanyama kama vile mapenzi kinyume na maumbile.Ubarikiwe!
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Basiasi tusaidie paragraph kwanza, maana nimejikuta nashindwa hata kusoma mstari wa 3 tu wa article yako. Weka flow nzuri
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Mie hata sielewi1maelezo yaanzia wapi
   
 4. M

  MFILIPINO Senior Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Copy and paste jaribu ku edit hata kidogo. nyie ndo huwa mnaangalizia hadi jina
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  ujamalizia with first class
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mi nimeweza kusoma mpaka hapo 'napenda kumpa heshima yake....phewww....ndefu mno na imebanana sana bana
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kutokana na hilo nililo bold, inaonesha kabisa kwa ulishawahi kuangali. sasa kama body and mental reaction yako kwenye hizo picha jibu lake tayari mumeo analo...LABDA kama tukio hilo liliwahi kukutokea kabla hayakuowa....

  "MWAMBIE AWEKE UZIMIE NA KUPOTEZA HAMU KABISA UONE KAMA ATARUDIA TENA"
   
 8. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Haaa haaa umeniacha hoi yaonekana we kipenzi cha wale jama wa tazara sana usitaje nani!!!mbele wanaonyesha kanumba wakikuona busy wanageuza mkono lohh yashababi
   
 9. Moderator

  Moderator Content Quality Controller Staff Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 29, 2006
  Messages: 479
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Copy & paste wengine wanakuwa na copyrights zao.
  Ni busara ukaweka
  source; The Hill Of Wealth
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  wewe utakuwa mwalimu wa kiswahili somo la imla
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135

  [​IMG]
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  utalala nje leo...wallah nakwambia
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  unazimia kuona mwanamke mwenzako amavyoshughulikiwa na akitoa mayowe
  pole sana:A S-alert1:
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe nimeshinda lotto leo, ukinilaza nje mahela ya lotto naenda kumpa dasophy. :hungry:
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aaaa ahaaa umenifurahisha kweli mana wanaangaliaga mtu kwanza wakikuona mwingi wa habari anakugeuzia anakwambia mambo ya kikubwa vp
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  he he....na wewe husband ....hujui kutaniwa......ndoa matani bwana...tih tih
   
 17. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hebu imalizie uje uniambie,,kha!!
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  mambo ya kuangalia gemu ya wengine ili mzuka upande,

  labda mzee ana kisukari
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  looh utakua mwalimu mzuri sana wa imla ngoja nikupm
   
Loading...