mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 997
sasa si bora nipige chini tuMtafutie hata best yako akajaribu kama ataipata io mimba
Nipo honeymoon nimeoa janaOa acha uzinzi
nimeacha,acha kuwaza taka na uchafu wa kingono
Mkuu huwezi kumtafuta bila namba kukupa mimi?.Nipe namba yake nikutestie tuone
Ndo unipatie nikusaidie mwanaume mwenzioMkuu huwezi kumtafuta bila namba kukupa mimi?.
Umeoa halafu hutaki kuitwa baba au huyo uliyeoa mwingine?Nipo honeymoon nimeoa jana
nimemjibu huyo jamaa anayeleta mada nyingine wakati mimi nataka ushauri wa kitu kingineUmeoa halafu hutaki kuitwa baba au huyo uliyeoa mwingine?
sasa huna busara umejibiwa na typo yako unakasirika je sisi wenye busara tukujibu vipi?..nimemjibu huyo jamaa anayeleta mada nyingine wakati mimi nataka ushauri wa kitu kingine
Halafu nikishaoa?.sasa huna busara umejibiwa na typo yako unakasirika je sisi wenye busara tukujibu vipi?..
Jibu ni moja OA!
Tafuteni matibabu!Halafu nikishaoa?.
Mkuu embu soma nilichokiandika,ishu sio matibabu.Tatizo ni kwamba yeye anahitaji nimpe ujauzito apime kama kizazi chake kipo sawa au lah ili hali mimi sipo tayari kwa sasaTafuteni matibabu!
Wewe ni wa Dar au mikoani? Nijibu nikupe ushauri wa busara.Mkuu embu soma nilichokiandika,ishu sio matibabu.Tatizo ni kwamba yeye anahitaji nimpe ujauzito apime kama kizazi chake kipo sawa au lah ili hali mimi sipo tayari kwa sasa
Kuna tatizo katika fikra za kizazi cha leo.Umeoa halafu hutaki kuitwa baba au huyo uliyeoa mwingine?