Kumbe ni wewe The iron batterfly ndiye unayemsaidia?Asante
Hebu nitajie wataalamu hao walipo nimshauri ,atoe fasta kabla haijakuwa kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema maumivu anapata mtoto una maana gani? Let's say mimba imetunga ina week 2, unawezaje kusema huyo ni mtoto tayari? Wengine hata Primary Biology knowledge mliiruka ama? I think abortion is fair for the unborn fetus.Plan ya kuuwa unathubutu kuita plan tena huku ukicheka?
Tatizo wanawake hamjitambui,unapokea shahawa za mtu ambaye hata hujui kama ana lengo gani na wewe kwanza huo ni ujinga second unapata mimba unawaza kwenda kutoa,hufikirii maumivu anayoyapata mtoto.
Unatakiwa ujitambue,wewe umeumbwa kama chombo cha kuwezesha uhai duniani karama yako hii usiitumie isivyotakikana,plan ya kuzuiya hili vaa chupi ya bati hakuna mtu kuona maungo yako kama ndoa hamna nyie mnajirahisisha sana halafu kibwege tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko dizim MkuuKumbe ni wewe The iron batterfly ndiye unayemsaidia?
za Moshi Majengo au bado upo Dar
hujanitajia ana umri gani na miaka mingapi
afike KCMC na kilo moja au pale Majengo karibu na kituo cha Polisi kuna ka Dispensary awa na sitini el tu
kwa Dar ni popote hata wanafunzi wa Primary wanafyatua na kurudi class sembuse wanavyuo wanazikataa
Kabisa ni fair nashangaa watu wanacatch feelingsUkisema maumivu anapata mtoto una maana gani? Let's say mimba imetunga ina week 2, unawezaje kusema huyo ni mtoto tayari? Wengine hata Primary Biology knowledge mliiruka ama? I think abortion is fair for the unborn fetus.
Kwani umeshawahi kuona uzi kuna singo maza amejiua au kaacha kuingia jf kwa sababu ya kunyanyapaliwa?
Ok, basi mshauri amuue na huyo mtoto wake wa kwanza ili akikutana na mimi nisijue kama yeye ni single mother
Yaani pamoja na asilimia kubwa ya kukupinga lakini bado unakomalia atoe mimba!!!Ili baadae uje umnange humu mitandaoni kuwa ni singo maza,ni Bomu na hafai kwenye jamii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wa mwanzo hawezi muua kwani alimzaa kwa upendo na jamaa aliridhia ujauzito,ila aliitelekeza mimba hadi Leo mtoto ana 4 years,very smart boy ,na aliapiza kutorudia makosa,so madamu imetokea kwanini asisolve problem kabla halijawa kubwa,apitie same humiliation and stress.Ok, basi mshauri amuue na huyo mtoto wake wa kwanza ili akikutana na mimi nisijue kama yeye ni single mother
Utajuaje katoa mimba?Yaani pamoja na asilimia kubwa ya kukupinga lakini bado unakomalia atoe mimba!!!
Ok, mwambie amuue na huyo mwanae wa kwanza ili akikutana na mimi nisijue kama ni single mother
UKWELI AKIWA NA WATOTO WAWILI WENYE BABA TOFAUTI ANA NAFASI YA KUOLEWA KULIKO AKIKUTANA NA MWANAUME KISHA AKAJUA KATOA MIMBA, MWANAMKE WA NAMNA HII ANAYETOA MIMBA WANAUME TUNAMCHUKULIA MUUAJI, MALAYA na majina mengine yote Mabaya unayoyajua wewe kuliko hilo SINGLE MOTHER
Hiyo ni sawa na kubet. Pengine ana ndoto ya kuja kuolewa, sasa ni ngumu sana kupata mume wa kumuoa iwapo tayari ana watoto wawili, tena na wanaume tofauti, incase na huyo wa pili ataamua kukacha.Kwani umeshawahi kuona uzi kuna singo maza amejiua au kaacha kuingia jf kwa sababu ya kunyanyapaliwa?
Humu usipoolewa utachambwa, ukiachika utachambwa, ukiolewa usizae ndo hata ndugu zako wa karibu watakusema na matusi juu. So ni uamuzi wa mtu kuamua kuifuatisha jamii au kuishi maisha yako.
Yes it won't be easy being a singo maza of two with different men, but imeshatokea, aipokee tu baraka yake. Aongee tu na huyo baba kijacho, mambo yanaweza yakawa tofauti kabisa na mnavyowaza. And yes hata ikitokea baby daddies wote wakamtelekeza, Mungu hamtelekezagi mtu, atampa neema ya kulea watoto wake vizuri tu.
Kumbe hamsomi content
Nimesema alikuwa anatumia njia ya uzaz wa mpango,sema anashangaa imetokea kapata ujauzito
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe kama umeolewa basi huyo muoaji KAKOSEA KUOAHahahaha mwaka 2019 tunaplan kupunguza masingo maza
And this is the plan,fyekelea mbali shahawa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
ExactlyHiyo ni sawa na kubet. Pengine ana ndoto ya kuja kuolewa, sasa ni ngumu sana kupata mume wa kumuoa iwapo tayari ana watoto wawili, tena na wanaume tofauti, incase na huyo wa pili ataamua kukacha.
Hahahahh okKama ni mtumiaji wa hizo P2 bora asitoe, unless hana mpango wa kuzaa tena.
Maana hiyo ndo mimba yake ya mwisho.
Maneno tu hayaYaani wewe kama umeolewa basi huyo muoaji KAKOSEA KUOA
BINAFSI NIPO TAYARI KUOA SINGLE MOTHER KULIKO KUOA MUUAJI MAANA KUNA SIKU ATAKUJA KUNIUA HATA MIMI MWENYEWE ILI ASIITWE Mrs. Krait
Mbona unamwambia huyo mleta uzi....unahisi ndo muhusika eeeh?The thing is, umesharuhusu mimba (negligence), huna budi kulea. Japo najua wengi huwa wanatoa mimba, lakini usifanye reference na wao...
Kwa sababu umesema uwezo wa kulea watoto upo, achana na kelele za watu, eti kuwa single mother kutakuumiza etc. Lea wanao, watakuwa faraja yako uzeeni.
Tutajua tena rahisi sana, kuna jamaa yangu alimpenda msichana mmoja mzuri tu, jamaa akakolea kabisa na kutaka kutoa posa akamwambia kaka yake, kaka mtu kumtazama tu akamwambia aachane nae jama hakuelewa, akaamua kumchana huyo manzi katoa mimba jamaa hakutaka kuelewaUtajuaje katoa mimba?
Mbona mnaoa kibao waliotoa mimba tena mnajisifu mmepata mwanamke wa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa,mie nimemshauri kutokana na jamii yetu inavyowadhalilisha singo maza.
Yeye anaogopa kuzaa tena kwani anasema alipitia kipindi kigumu sana na mwanaume wa mwanzo,na ilimchukua muda kukaa sawa na kumlea vizuri mwanae so anaogopa yasijirudie manake wanaume ni vigeugeu ,aweza jifanya anakupenda ila ukipata ujauzito anakukimbia na matusi juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni sawa na kubet. Pengine ana ndoto ya kuja kuolewa, sasa ni ngumu sana kupata mume wa kumuoa iwapo tayari ana watoto wawili, tena na wanaume tofauti, incase na huyo wa pili ataamua kukacha.